Tamko la raisi juu ya yale ya Arusha ni lipi?

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
ni uhuni wa serikali.ukosefu wa utu,haiwajali tena raia,imepoteza mwelekeo,inatumia nguvu hata pasipostahili,hivi huyo kikwete yupo mafichoni wapi?hayo yote ina maana anajifanya hayasikiii?damn serikali
 
Umenifurahisha hakuna mahala ulipotamka neno Rais
 
Yuko busy. Mchumi asiyejua uchumi. Hata Degree ya uchumi aliyopata haikumsaidia, mbali ya hapo jamaa inaonekana hata washauiri wake ameteua wa kufanana naye.
 
Alisoma Political economics na alipata pass tu. Academically the guy is empty, ndio maana hawezi kukaa meza moja na PhD holder kama Prof. Lipumba au Dr. Silaa wakajadili mambo ya maana yanayohusu nchi. Mwenzake Chinga alikuwa anakaa na viongozi wa vyama vya siasa na kubadilishana mawazo.
 
Naskia alipata "ze gentleman degree" yaani GPA chini ya mbili!!!
 
mkwere atakuwa amejificha anasubiri mambo yapoe ndo aje kujichekesha chekesha
 
Yuko busy. Mchumi asiyejua uchumi. Hata Degree ya uchumi aliyopata haikumsaidia, mbali ya hapo jamaa inaonekana hata washauiri wake ameteua wa kufanana naye.

Pass Grade(GPS 1)

1st year THREE SUPPS
2nd year THREE SUPPS
3rd year THREE SUPPS
 
ni uhuni wa serikali.ukosefu wa utu,haiwajali tena raia,imepoteza mwelekeo,inatumia nguvu hata pasipostahili,hivi huyo kikwete yupo mafichoni wapi?hayo yote ina maana anajifanya hayasikiii?damn serikali

Mkwere yuko Bagamoyo anacheza Kidugu na Makamba
 
Yuko busy anahudhuria mazishi na kuzika!

8E9U8309.jpg
 
Back
Top Bottom