Tamko la pamoja kati ya vyama vya wafanyakazi na asasi za kiraia

Tamko la tangu mwezi wa nane hili...wit..with no effect so far...fao la kujitoa halipo tena mkuu.
Hawa wafaume na wenye nchi watatutesa mpaka damu itutoke....sijui kama baba mwenye nyumba ana uchungu na kaya zisizo na uwezo...I,e what he cares ni wajenge viwanda kwa hela za sisi maskini..ili in turn sifa na utukufu umuendee yeye.
 
Back
Top Bottom