Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

kwa hiyo ndo sababu walizosema US. usiwe unaandika kama mjinga . Jaribu kuwa na fikra kdg
Wewe ndo mjinga! ,unafikiri kimakondamakonda! Statement ya Mark Pompeo inasema ," flagrant denial of the right to life"! Unadhani wote tulipata F F F F F F F F F kama wewe?!.
 
Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4.

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema Makonda ni mmoja wa viongozi majasiri wanaofaa kuwa warithi wa Magufuli hapo baadaye!

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alitoa hiyo "reckless statement " bila kuzingatia mwenendo wa Makonda katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya 5 na hisia za jamii pana juu yake!

Leo mtu tuliyeambiwa na Mhashamu Baba Kadinali Pengo kuwa anafaa kuwa mrithi wa Magufuli ,Marekani wana m- Brand kama mtu asiyependa kuishi kwa watu wengine, yaani kwa maneno rahisi ni sawa na kusema ni "Muuaji" !

Mimi kama Mkatoliki napata wasiwasi isijekuwa baadhi ya Viongozi wetu wa Dini hapa Nchini hawana tofauti na Viongozi wa Dini pale Uganda waliomkumbusha Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa hakuzaliwa 1943 bali alikosea alizaliwa 1947 ili tu apate uhalali wa kugombea Urais comes 2021!
Mimi ni m RC ila pengo nshamkataa kitambo sana
 
Habari bila picha hainogi
IMG-20200201-WA0020.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba wa Chattle kàwajibu US, hongera sana jembe! Hakuna kurudi nyuma, marekani kitu gani bhana?? Hata kupandikiza watoto tutafanyia china
IMG-20200201-WA0050.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We we Ni miomgoni mwa memba wa zamani humu. Nimeshangazwa na comment yako hii
U
USA wameongea ukweli ila wamejaribu kufichaficha sababu za kimzuiya Makonda.
Wewe umeongoea ukweli mtupu bila kupepesa macho, nyeupe umeita nyeupe, nyeusi umeita nyeusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kila anachosema USA ni sahihi? Marekani anaangalia maslahi yake popote pale, kiukweli dunia hii kuna wauwaji wengi na wakubwa kuliko mnavyofikiria, mbona huyo mmarekani hamkemei Israel anavyoua wapalestina? Lazima mkubali hapa suala kubwa ni la ushoga, wameshindwa kuleta vilainishi vyao vya kuendeleza ushoga wanadai Makonda ni muuaji, they are shitholes kabisa, wameharibu Libya, Iraq, Syria na mataifa mengine kwa maslahi yao na huko kote kuna wauaji wakubwa mbona hawajawazuia, pumbavu sana hawa Marekani, wanadhani dunia hii ni yao? Juzi wamemuua Generali wa Iran na Trump katangaza hadharani kuwa ndie aliyeamuru auwawe kwa tuhuma zisizothibitishwa, sasa nani muuaji hapa, pumbavu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
good
 
Ficha
Ficha ujinga wako, ushoga si sababu ya kupigwa ban, bali kutopenda wenzake waishi " uuaji" ! Yuko wapi Ben Saaabane, Yuko wapi Azory Gwanda ,Yuko wapi Simon Kanguye ,Je ni na ni alitaka kumuua Tundu Lissu?! Ujinga wako wewe usilazimishie watu!
Una uhakika gani kama Makonda anahusika na upoteaji wa hao uliowataja? Yaani kwa kuwa jambo limesemwa na USA ndio unachukulia sahihi, ipo siku atakwambia kwenu sio Tz ni Colombia utasema 'kumbe kweli eeh'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4.

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema Makonda ni mmoja wa viongozi majasiri wanaofaa kuwa warithi wa Magufuli hapo baadaye!

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alitoa hiyo "reckless statement " bila kuzingatia mwenendo wa Makonda katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya 5 na hisia za jamii pana juu yake!

Leo mtu tuliyeambiwa na Mhashamu Baba Kadinali Pengo kuwa anafaa kuwa mrithi wa Magufuli ,Marekani wana m- Brand kama mtu asiyependa kuishi kwa watu wengine, yaani kwa maneno rahisi ni sawa na kusema ni "Muuaji" !

Mimi kama Mkatoliki napata wasiwasi isijekuwa baadhi ya Viongozi wetu wa Dini hapa Nchini hawana tofauti na Viongozi wa Dini pale Uganda waliomkumbusha Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa hakuzaliwa 1943 bali alikosea alizaliwa 1947 ili tu apate uhalali wa kugombea Urais comes 2021!

Kanisa Katoliki ni wakala wa shetani Pengo is INTRINSICALLY EVIL!
 
MKuu unataka data au unataka nini ?
hivi unamjua huyo generali kweli au unasimuliwa tu ?
Mbona ya Iraq, Libya na Syria husemi? Marekani kampiga Iraq baada ya kumpekua akidai anatafuta silaha za maangamizi, baada ya kubaini hana silaha hizo angalia alichofanya, Baraka Obama amekiri hadharani kwenye utawala wake kosa kubwa alilofanya ni kumuondoa Gaddafi pale Libya na anajutia sana hill, mbona hayo huulizi? Huyo Generali wa Iran aliyeuwawa hizo data unazotaka kuzitoa hapa ni za kutoka kwa haohao USA, hizo no propaganda za kawaida kabisa hapa Duniani, kwani hujui juzi tu Iran alivyovurumisha kombora lake kule kwenye kambi ya kijeshi ya USA iliyopo Iraq, Trump alisema hakuna askari wake hata mmoja aliyejeruhiwa, je ushasikia kwamba tayari askari sitini wa USA walijeruhiwa? Hizo ni habari za jana tu na pengine tutasikia Vifo, haiwezekani wajeruhiwe sitini halafu asife hata mmoja, hizo ni propaganda, Marekani ndiye anayeiviruga hii Dunia ndugu, tambua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kila anachosema USA ni sahihi? Marekani anaangalia maslahi yake popote pale, kiukweli dunia hii kuna wauwaji wengi na wakubwa kuliko mnavyofikiria, mbona huyo mmarekani hamkemei Israel anavyoua wapalestina? Lazima mkubali hapa suala kubwa ni la ushoga, wameshindwa kuleta vilainishi vyao vya kuendeleza ushoga wanadai Makonda ni muuaji, they are shitholes kabisa, wameharibu Libya, Iraq, Syria na mataifa mengine kwa maslahi yao na huko kote kuna wauaji wakubwa mbona hawajawazuia, pumbavu sana hawa Marekani, wanadhani dunia hii ni yao? Juzi wamemuua Generali wa Iran na Trump katangaza hadharani kuwa ndie aliyeamuru auwawe kwa tuhuma zisizothibitishwa, sasa nani muuaji hapa, pumbavu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mashoga tunao nchini tangu enzi na mmojawapo amewahi kuwa rais na gavana wa jiji kuu naye ni shoga
 
Kwa hiyo yeye kuzuiwa sababu ya kupinga mashoga wewe unafurahi. Hivi utapenda mtoto wa kiume aliwe tako
Mwaka Jana raisi wa Malawi mutharika aliwafunga wapenzi wa jinsia moja na mpaka leo anasafiri kwenda marekani na ulaya sasa inakuaje Kwa MAKONDA ambaye alitoa Tu tamko juu ya mashoga?
Kama ulikuwa hujui basi MAKONDA amepigwa pin Kwasabb ya mauaji aliyofanya
 
Kweli mkuu dunia inasumbuliwa na USA pamoja na wasaliti na vibaraka wao hao wamarekani. Hakuna sehemu yoyote hapa duniani Mmarekani amevamia kwa maslahi ya wananchi wa nchi hizo bali hupeleka migogoro isiyoisha pia huwaacha wasaliti solemba baada ya kukamilisha mission yake. Angalia Savimbi walimtumia sana lakini walipomchoka walimwacha porini na kuuwawa kama mnyama. Huko Misri, Iraq, Libya wale vibaraka wake baada ya kumaliza mission yake aliwaacha solemba hata Trump sasa anajuta kwa nini walivamia Libya na Iraq.

Hebu tuambie haya mawili tu kama upo sawa kichwani

1. Ben sanane yupo wapi?

2. Nani alimpiga malisasi lukuki Lisu
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya viongozi wa dini, viongozi wa kiimani na viongozi wa kiroho...
Hakika huyo Pengo alikuwa ni kiongozi wa dini... Hana faida yoyote kwa waumini wake kiimani wala kiroho..!!
 
Back
Top Bottom