KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,744
- 86,370
Awali ya yote natumai mu buheri wa afya..
Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!.
Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la hasha!. Na vilevile kukataa ndoa sio kwamba sisi ni wapiga punyeto!, Bali swala la huduma ya huba ama mapenzi tunalipata vilivyo tena huku tukizingatia afya zetu kama idara za afya zinavyotutaka!.
Lengo la bandiko hili ni kuwashauri wana CHAPUTA kuacha tabia hiyo ya punyeto ama kujibinya mara moja!, kwamaana haizingatii afya maana huaribu misuri ya kiungo kinachobinywa!, na pia huathiri saikolojia ya mjibinyaji yani mpiga punye!.
Itakuwa vyema kama chama hicho kitazingatia ushauri huu, sisi kama chama kikongwe tumeona si vyema kuwaacha ndugu zetu mkiangamia!.
Pia chama chetu cha kataa ndoa kipo tayari kupokea wanachama wapya mwendo ni NO REFORM NO MARRIAGE!.
Niwatakie usingizi mnono!.