Hivi Magufuli akitoa pole kwa mauaji ya Texas si ni kwa niaba ya Watanzania?Nilifikiri ni askofu wa MORAVIAN.....
MORAVIAN ni kanisa lenye kujitambua, kuchanganya mtu anayejiita askofu wa Moravian na kanisa la Moravian ni kulikosea kanisa
Hii kuwaziba watu midomo ni ishara ya watu kusemwa watasemwa na watasutwa siyo kwa mazuri bali kwa mabaya na mambo ya kishetani wanayofanya.2020 hakika hakika tunataka kuona kwa wazi wagombea wetu wakiwa jasiri kusema na kuweka bayana misimamo yao na kutetea:
Haki dhidi ya udhalimu , wema dhidi ya udhalimu,
Uokoaji dhidi ya Utesaji .
Utawala wa hekima na Busara dhidi ya utawala wa Maguvu.
Upendo dhidi ya Chuki.
Upotoshaji wa kuhesabu Kura dhidi ya kupindua matokeo ya kura.
Demokrasia dhidi ya udikteta.
Uokoaji dhidi ya Utekaji.
Uponyaji dhidi ya uuaji wa makusudi.
Utajiri dhidi ya umaskini.
Ukabila /Ukanda dhidi ya Utaifa.
Hii itawasaidia wale wanaotetea upande wowote kupata muda wa kueleza ni kwa nini anasimama upande mmoja wa kati ya hayo hapo juu.
Mana kama ni utekaji na utesaji ni wazi vijana wa UVIVUSisemi walishajipambanua kuwa wao watamshughulikia yeyote wanayetofautiana naye. Na wakasema dola ni la kwao kwa hiyo watafanya chocho wanachotaka.
2020 ni wakati wao wa kueleza Dunia na wapiga kura kuwa kwa nini waliamua kuhamasisha uhalifu dhidi ya binadam? Na kwa nini kwao Watu walioumbwa na Mungu sio muhimu??
Na yeyote atakayejidai kuwa anakemea wakati wa Kampeni tuu wakati alikaa kimya binadam wakiwa wanapotea na kuuawa na kutekwa atuambie kwa nini alikaa kimya wakati alikua alikua na uwezo wa kukemea ?
Nampongeza sana Baba Askofu, Hakika ameisoma na kuielewa Vizuri Biblia anayoiamini.
Mambo Mazuri yaliyoko katika vitabu vya Dini ni pamoja na kupinga uovu unaotendwa na binadam.
Wanasiasa nao ni binadam hivyo nao pia watakemewa kama binadam wengine wanavyokemewa. Hakuna binadam aliyeko juu ya Maandiko ya Mwenyezi Mungu na maelekezo na AMRI ZAKE.
Katiba yetu na Dini zote kuanzia za asili zinakataza kuua ,kutesa ,dhulma,uonevu,uongo, usingiziaji, uporaji ,wizi, rushwa, Upendeleo ,ubaguzi,dharau n.k.
Wee jamaa mbilona unajidhalilisha hivyo,unaonyesha ulemavu mbaya sana wa akili yako!Mleta mada hv umewahi shuhudia Askofu au mchungaji wa Moravian kaombea mgonjwa yeyote akapona ?Hili ni moja ya makanisa ambayo wauminia wao ni fuata upepo sijawahi ona. Wakisikia Mwakasege kaja wote wanakimbila huko,sjui kaja muhubiri fulani wote wanakimbilia huko .(The likes of KKT na Anglican).Hakuna kinachoendelea huko kwenye makanisa yao zaidi ya michango,na harambeee hasa kipindi cha uchaguzi. Hayo ni mapango ya biashara ,nawaonea huruma washirika wa hayo makanisa ni wasindikizaji wa safari ya mbinguni. Mi nilikua muumini wao nikagutuka kule sio kusali ni kupoteza mda.
Uwezo wako wa kuelewa na kuchanganua mambo na hoja ni mdogo sana. Maskini umeshindwa hata kuelewa hoja iliyopo kwenye uzi huu ni ipi na ww utoe mawazo au mchango gani, bahati mbaya zaidi ukaingiza na maswala ya madhehebu ya watu ambayo kwa fikra zako unadhani unayaelewa vizuri kumbe nako hauna unachoelewa.Mleta mada hv umewahi shuhudia Askofu au mchungaji wa Moravian kaombea mgonjwa yeyote akapona ?Hili ni moja ya makanisa ambayo wauminia wao ni fuata upepo sijawahi ona. Wakisikia Mwakasege kaja wote wanakimbila huko,sjui kaja muhubiri fulani wote wanakimbilia huko .(The likes of KKT na Anglican).Hakuna kinachoendelea huko kwenye makanisa yao zaidi ya michango,na harambeee hasa kipindi cha uchaguzi. Hayo ni mapango ya biashara ,nawaonea huruma washirika wa hayo makanisa ni wasindikizaji wa safari ya mbinguni. Mi nilikua muumini wao nikagutuka kule sio kusali ni kupoteza mda.
Dah! Uwezo wako kweli wa kupambanua hii hoja ndio umeishia hapa mkuu?Nilifikiri ni askofu wa MORAVIAN.....
MORAVIAN ni kanisa lenye kujitambua, kuchanganya mtu anayejiita askofu wa Moravian na kanisa la Moravian ni kulikosea kanisa
Viongozi wa Dini sio wakristo tu! mbona hatuja wasikia waBUDHA Waislam wakikemea huu ufashistKanisa ndilo lilisababisha mauaji ya kimbari Rwanda.
Nilifikiri ni askofu wa MORAVIAN.....
MORAVIAN ni kanisa lenye kujitambua, kuchanganya mtu anayejiita askofu wa Moravian na kanisa la Moravian ni kulikosea kanisa
mwenyekiti wa chama chetu CCM hufanya maamuzi bila vikao rasmi.Huyu Askofu mwehu tamko lake binafsi analiitaje tamko la kanisa? Ni wapi walikaa viongozi wa kanisa kikao wakatoa Hilo tamko? Huyu Askofu hazimo kichwani.Ukitoa tamko la kanisa linakuwa Ni tamko la kikao Sio unajiibukia tu na tamko lako na kuliita la kanisa
Hilo Ni tamko lake binafsi Sio la kanisa lolote lenye jina la Moravian lililopo Tanzania au nje ya Tanzania.Kanisa lolote lenye jina Moraviani halijawahi kaa kikao chochote kutoa Hilo tamko.Ni tamko lake binafsi Yeye Kama yeyeKanisa ndilo lilisababisha mauaji ya kimbari Rwanda.
Muogope Mungu na uwe mkweli achana na Imani za Chuki na uongo.Kanisa ndilo lilisababisha mauaji ya kimbari Rwanda.
Huwa sikisii.Muogope Mungu na uwe mkweli achana na Imani za Chuki na uongo.
Unajidhalilisha na kuudhalilisha uislam wako.
Wapo Waislam wengi tu Leo hii ni waelewa sana kwenye mambo ya imani za dunia nzima kwa sasa.
Watu wanajua uko mpango wa siri wa Kishetani na umejiingiza kwa waumini na viongozi wa Dini zote. Ndio maana Dunia nzima kuna vurugu na chanzo chake ni uonevy unaotikana na watawala.
Hakuna Dini ya kweli inayoweza kukaa kimya dhidi ya udhalimu ,iwe ni ukristo au uislam au Ubudha au Upagani.
Tuwasaidie watu kujua Haki na dhulma.
Haya mambo ya kueneza Chuki za watu kidini ni upuuzi na ujinga mtupu.
Dini bila haki kwenye jamii ni upumbavu.
Rwanda Makanisa ndipo walipokua wanakimbilia watu dhaifu kama inavyokuwa kwenye nchi za kiislam kwenye Vita ambapo wale watu wasio na vurugu hukimbilia kujihifadhi.
Wanapokua wengi ni dhahiri viongozi wa Dini wanajitokeza kukemea serikali kuwa iache kuua watu wake mana inasababisha Wakimbizi kujaa kwenye nyumba za ibada na wanaotwishwa mzigo na hata kuuawa au kuandamwa ni Viongozi wa Dini waliowapokea na kuwahifadhi.
Mara nyingine wanakimbilia hata wale wanaotafutwa na wanaogombana nao.
Siku zote adui wa serikali na Chama Tawala ni yule anayehatarisha madaraka yao kwa kuwapinga.
Ni kanisa lipi Rwanda liliwahi kuingiza Sialaha na kuanzaisha Jeshi au Kundi Rasmi la kuua?
Kama ilitikea kwa kanisa moja au mawili ndio kusema ni nchi nzima?
Hivi nani anaweza kuishinda vita inayoanzishwa na Kanisa?
Hayupo Duniani hata yule baba yenu Lucifer hawezi .
Kanisa ni Kazi ya Kristo au Masihi Mwenyewe ndio maana hata Utawala Mkubwa kama wa Rumi ulinyoosha mikono na kujisalimisha chini ya Kanisa.
Kanisa kazi yake ni kusimama kwenye Ukweli.
Kanisa haliwezi kukaa kimya na kuangalia wanadam wanauawa bila sababu hasa watu wasio na madhara.
Yaani watu wasiotumia silaha kwa nini wauawe bila hata kuhukumiwa mahakamani?
Kama MTU anakosa afikishwe mahakamani mana tumejiwekea sheria.
Kwa nini wakae kimya kisa eti Rwanda walihusika kwenye mauaji?
Hivi ni namna gani Vita ya Watusi na Wahutu ingekwepeka ?
Kwa nini haikua vita kati ya Dhehebu moja na lingine au Kanisa na Misikiti au Uislam kule Rwanda?
Kwa nini ilikua ni kati ya Wahutu na Watutsi ambao wengi ni Wakristo??
Hapo inakuaje vita ya Kanisa?
Watawala wasimamie haki na sheria hakuna vurugu inayoweza kutokea mahali penye haki hiyo ni kanuni ya Imani zote kuanzia zile za asili.
Tusidanganyane kwa sababu ya kuona kuwa tunaweza kutumia risasi muda wote.
Hatuna Jeshi kubwa kama la Sadam au Gadaf lakini watu walipochoka kuongozwa kwa Risasi waligeuka na kupuuza mema yote yaliyofanywa na watawala wao.
Hata IDD Amini alikua malendo sana kwa Taifa lake kosa alilofanya ni kutojali uhai wa watu wake na haki zao za msingi akawaza kuimarisha tu utawala wake,watu wakamchoka na kumtoa kwa kushirikiana na majeshi ya wageni.
Tunayashangila haya Leo lakini Kesho wakinyamaza hawa maaskofu ujue kesho kutwa atatekwa Shekhe na kuuawa halafu wataaminishwa watu kuwa alikua gaidi na jamaii itakaa kimya mana magaidi wanaogopwa . Kumbe ni ugomvi wa kimadaraka tu au ameoneka kuwa huyo Shekhe a anaukaribu na Mtu Fulani ambaye ni tishio la Madaraka ya watu Fulani.
Haki ibaki kuwa haki hata kama imesemwa na Mpagani.
Leo hii tunamuenzi Kinjekitile Ngwale pamoja na kuwa alikua na Dini zake za asili kwa sababu tu alipigania HAKI.
Babu wa loliondo aliyekuwa anawaombea, kuwatapisha na kuwatoa mavirus viongozi wakubwa wa kitaifa hakuwa mchungaji wa KKKT? Wacha kujitoa ufahamu? Ogopa wchungaji au maaskofu wasiowajibika popote kama akina Gwajima, mzee wa bapa, mwingira, kakobe and the like....janjajanja nyingi.Mleta mada hv umewahi shuhudia Askofu au mchungaji wa Moravian kaombea mgonjwa yeyote akapona ?Hili ni moja ya makanisa ambayo wauminia wao ni fuata upepo sijawahi ona. Wakisikia Mwakasege kaja wote wanakimbila huko,sjui kaja muhubiri fulani wote wanakimbilia huko .(The likes of KKT na Anglican).Hakuna kinachoendelea huko kwenye makanisa yao zaidi ya michango,na harambeee hasa kipindi cha uchaguzi. Hayo ni mapango ya biashara ,nawaonea huruma washirika wa hayo makanisa ni wasindikizaji wa safari ya mbinguni. Mi nilikua muumini wao nikagutuka kule sio kusali ni kupoteza mda.
Kwa hiyo ni upande huu tuu ? Wale was Azana haiwahusu!!Sijui nini kimewakuta Au kwa vile the one in power ni mkristu mwenzao ? Wakati wa kikwete nyaraka za maaskofu zilikua bandika bandua
Gwajima wamempiga stopBabu wa loliondo aliyekuwa anawaombea, kuwatapisha na kuwatoa mavirus viongozi wakubwa wa kitaifa hakuwa mchungaji wa KKKT? Wacha kujitoa ufahamu? Ogopa wchungaji au maaskofu wasiowajibika popote kama akina Gwajima, mzee wa bapa, mwingira, kakobe and the like....janjajanja nyingi.