kumbe chadema sasa wanamtambua chitanda. tumeua watu wetu bure
Ndio siasa hizo next time watu wawe waangalifu!!
kumbe chadema sasa wanamtambua chitanda. tumeua watu wetu bure
Natumaini hujanipata, muungano wa vyam vya upinzani si ule wa TANU na ASP = CCM, au serikali ya kitaifa CUF+CCM la! Kinachotakwa ni makubaliano ya ku-support miswada na misimamo ya kibunge. Tatizo watanzania wanadhani kufanyakazi pamoja kwa malengo fulani ni kukiuza chama. Haya ndio matokeo ya siasa za muda mrefu za CCM. The winner takes it all! Napozungumzia Conservatives na Liberal ninamaana ya mirengo miwili toufati ambayo kimtazamo ni vigumu kufanya siasa moja lakini kwa ajili ya malengo wamekubali kuunda serikali moja huko UK.
kumbe chadema sasa wanamtambua chitanda. tumeua watu wetu bure
Watu wa misri wangekuwa na mawazo kama yenu wasingekuwa Tahrir Square leo ambapo hadi sasa wameshuhudia zaidi ya watu 200 wameuwawa.Ndio siasa hizo next time watu wawe waangalifu!!
Watu wa misri wangekuwa na mawazo kama yenu wasingekuwa Tahrir Square leo ambapo hadi sasa wameshuhudia zaidi ya watu 200 wameuwawa.
Quinine,
Watu wa Misri wameungana pamoja bila itikadi zao za chama wala dini, Mfano egypt kuna Muslim Brotherhood, Christians, Secular Muslims wote wameungana kutengeneza sauti moja. Hiyo ndio ukisikia nguvu ya umma ndio hiyo.
Tunisia vile vile waliungana kuwa kitu kimoja kumtoa President Ben Ali.
Njoo kwetu Tanzania, Chadema ndio wanaona wao ndio viongozi wateule wamesahau kuwatoa CCM you have to reach to the people wa background mbali mbali. Chadema mikoa ya kusini hata haijulikani yet alone kupata uwakilishi, imejikita mijini na mikoa ya kaskazini. Pia mikoa ya Pwani na Zanzibar the same situation. Sasa unafikiri wataweza kuwatoa CCM madarakani kwa maandamano.
Nguvu ya umma haijengwi na wanachadema tu!!!!! Kaeni mkilielewa.
Huwezi kuungana for the sake ya kuungana bila sababu maalumu.Quinine,
Watu wa Misri wameungana pamoja bila itikadi zao za chama wala dini, Mfano egypt kuna Muslim Brotherhood, Christians, Secular Muslims wote wameungana kutengeneza sauti moja. Hiyo ndio ukisikia nguvu ya umma ndio hiyo.
Tunisia vile vile waliungana kuwa kitu kimoja kumtoa President Ben Ali.
Njoo kwetu Tanzania, Chadema ndio wanaona wao ndio viongozi wateule wamesahau kuwatoa CCM you have to reach to the people wa background mbali mbali. Chadema mikoa ya kusini hata haijulikani yet alone kupata uwakilishi, imejikita mijini na mikoa ya kaskazini. Pia mikoa ya Pwani na Zanzibar the same situation. Sasa unafikiri wataweza kuwatoa CCM madarakani kwa maandamano.
Isitoshe, ukisoma comment za wengi mnafikiri Chadema inaweza kuwatoa CCM, mnasahau kuwa nyuma ya kivuli cha Chadema kuna fikra za mgando za udini zinazowafunika na kuwapelekea kuchukiwa. Hizi fikra hata siku moja wasifikiri zitaondoka kiurahisi kwani ni ngumu. Chadema wangelikuwa makini kweli wangelikubali CUF waungane halafu CUF wakiharibu ndio wangeliweza kuwafikia waislamu venginevyo kadri siku zinavyoenda ndivyo watakavyojitengenezea makaburi yao wenyewe. Kumbuka siasa ni kusema maneno yanayowafikia wananchi sasa unadhani Chadema wamefanya kitu kufikia waislamu wanaowaogopa kama ukoma? Na sio waislamu tu kuna wapagani, wahindu nao. Kumbuka zamani Chadema kilikuwa kinajulikana chama cha wabaguzi kikichukia wahindi na waasia wengine. Wao na DP walikuwa wakionekana wachochezi wa ubaguzi. Sasa usituhumu sisi kabla hujaangalia nyumba yako iko vp.
Nguvu ya umma haijengwi na wanachadema tu!!!!! Kaeni mkilielewa.
Huwezi kuungana for the sake ya kuungana bila sababu maalumu.
Hii move ni counter-productive. Unajua unapokuwa huna hata nguvu ya kuzuia muswada au bajeti kupitishwa bungeni then unakuwa aunahitaji kila aina ya support kutoka kila mahali hata kama pamoja na support hiyo bado hutoweza kupiga kura yako ya turufu.
Nchi hii ina matatizo mengi na ni vyema wale wasiokuwa sehemu ya CCM (chanzo cha matatizo) au hata wa ndani ya CCM ila wenye chembe ya uzalendo, wakaungana na kuzungumza lugha moja. Kitakachotokea ni Chadema kupigana vita on two fronts which serves no real purpose in practice.
Isitoshe, ukisoma comment za wengi mnafikiri Chadema inaweza kuwatoa CCM, mnasahau kuwa nyuma ya kivuli cha Chadema kuna fikra za mgando za udini zinazowafunika na kuwapelekea kuchukiwa. Hizi fikra hata siku moja wasifikiri zitaondoka kiurahisi kwani ni ngumu. Chadema wangelikuwa makini kweli wangelikubali CUF waungane halafu CUF wakiharibu ndio wangeliweza kuwafikia waislamu venginevyo kadri siku zinavyoenda ndivyo watakavyojitengenezea makaburi yao wenyewe. Kumbuka siasa ni kusema maneno yanayowafikia wananchi sasa unadhani Chadema wamefanya kitu kufikia waislamu wanaowaogopa kama ukoma?
Umesema kitu afroPianist,Dah! Kumbe kuwafikia CUF ndio kuwafikia waislamu? Hivi waislamu si Watanzania? Ktk manifesto ya CDM wameweka msisitizo ktk mabadiliko ya mfumo mbovu wa kisiasa na elimu, n.k, Je, hilo haliwagusi waislamu? CDM wamepiga kijasiri dhidi ya ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali zetu, je hilo haliwahusu waislamu?
Listen to yourself! Unajionesha ni mawazo gani(manyonge) uliyonayo bila hata kujitambua! And who put you incharge of all Tanzanian muslims to decide for them what party is fit for them? Your unfounded allegations against CHADEMA are quite myopic but it seems you have told the lie so many times that you now believe the lie yourself! Baki na mawazo yako mgando ya kibaguzi, u'll be suprized to know how many muslims support CDM despite the thinking(such as yours) that CUF & CCM actually own muslims.
Dah! Kumbe kuwafikia CUF ndio kuwafikia waislamu? Hivi waislamu si Watanzania? Ktk manifesto ya CDM wameweka msisitizo ktk mabadiliko ya mfumo mbovu wa kisiasa na elimu, n.k, Je, hilo haliwagusi waislamu? CDM wamepiga kijasiri dhidi ya ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali zetu, je hilo haliwahusu waislamu?

Mkuu,
Siasa ni kusema jambo lenye kugusa mambo wananchi wanayoyataka, siasa ni kusema solution ya shida za wananchi. Narudia tena Chadema walilolifanya sidhani kama wamefikiria vizuri. Chadema wangeliungana na CUF, NCCR, na wapinzani wengine ikisha kama CUF wakilikoroga wanakuwa wamejiharibia wenyewe na Chadema wanakuwa wamewafunga bao la kisigino. Venginevyo kwenda kivyao wanajiandalia kaburi lao.
Dah! Kumbe kuwafikia CUF ndio kuwafikia waislamu? Hivi waislamu si Watanzania? Ktk manifesto ya CDM wameweka msisitizo ktk mabadiliko ya mfumo mbovu wa kisiasa na elimu, n.k, Je, hilo haliwagusi waislamu? CDM wamepiga kijasiri dhidi ya ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali zetu, je hilo haliwahusu waislamu?
Listen to yourself! Unajionesha ni mawazo gani(manyonge) uliyonayo bila hata kujitambua! And who put you incharge of all Tanzanian muslims to decide for them what party is fit for them? Your unfounded allegations against CHADEMA are quite myopic but it seems you have told the lie so many times that you now believe the lie yourself! Baki na mawazo yako mgando ya kibaguzi, u'll be suprized to know how many muslims support CDM despite the thinking(such as yours) that CUF & CCM actually own muslims.
Endeleeni kujidanganya.....
Umenena vema,
Nikuulize Swali,
Tunaomba msimamo wa Chadema kuhusu tamko la maaskofu kukana uchaguzi wa meya wa jiji? Au mnataka maaskofu wakosoe serikali ila nyie Chadema msikosolewe. No wonder Omar Ilyas aliwaita mafashisti!!!!