Tamko la Jukwaa la Wahariri kuhusu "Bunge Live"

Tamko la Jukwaa la Wahariri kuhusu "Bunge Live"

Sijao tatizo hapo wala haki iliyokiukwa ikiwa habari zinapatikana, sio lazima kila chombo kikaweke vifaa vyake pale wakati wamerahisishiwa.
Ongeza na hii hapa;
Itakuwaje pale ambapo kila media nchini wanataka kutangaza live matangazo ya bunge? Hebu pata picha ya utitili wa waandishi, wapiga picha nk!!
 
Tabia ya ovyo kabisa kumtukana mkuu wa Nchi hivi hamjafunzwa adabukukwambia leni kama kwa wazazi wenu ni shida
Kwa mujibu wa uelewa wako wewe ni mkuu wa nchi tu ndo hapaswi kutukanwa? Watu wengine wakitukanwa ni sawa tu? Nani kakwambia kwamba mzee kutoka Chato ni mkuu wa nchi tu?
 
Back
Top Bottom