Tamko la CHADEMA na dhana ya MwanaHalisi

Tamko la CHADEMA na dhana ya MwanaHalisi

ukimfukuza sana mjusi atageuka kuwa nyoka, kwani marando yeye hawezi kukosea akiwa kama mwanadamu?
 
Mkuu Chadema hawana Intelegensia ya kuandika mambo kama yale.

Inteligensia ya CDM inaconstitute watanzania wote wenye uzalendo wa kweli ambao wapo kila idara na kila shirika, ukienda ikulu, TISS, TCRA, jeshini, polisi,magereza to mention only a few.
 
Inteligensia ya CDM
inaconstitute watanzania wote wenye uzalendo wa kweli ambao wapo kila
idara na kila shirika, ukienda ikulu, TISS, TCRA, jeshini,
polisi,magereza to mention only a few.

ndiyo maana njama zao za kigaidi zinaumbuliwa mapema na kwa urahisi
 
Ha ha haaaaaa, kwi kwi kwiiiiii,,, hii ni kali ya karne maana jamaa alishindwa hata kuchungulia kuna nini kwenye hilo licheki

Hiyo cheki iliandaliwa na Chadema? Ingekuwa anayepokea ni kiongozi wa Chadema hizo picha tungeziona hadi gazeti la Uhuru na Habari Leo. Yaani mkuu wa kaya hajui hata kulinganisha tarakimu na maandishi? Au ndiyo maana nchi ina matatizo lukuki kwa sababu viongozi wetu wanadhani kuwa Two Hundred ni 300,000? Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Ukiangalia kwa makini tamko la CHADEMA lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba CHADEMA sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.

Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.

Kwani hiyo namba ya Katibu mkuu ikiwepo kuna shida gani, mbona ya Lwakatare nayo iliwekwa? Huu ni wakati wa ukweli kutengwa na uongo!
 
We mleta mada jaribu kuwa patriotic mbona unaonekana kama una 10% kwenye miradi zaidi ya 16 aliyosaini Mwenyekiti wenu wa Magamba pale magogoni wakajti wa ziara ya Xi Jinping,but in reality waweza kuwa walewale wa t-shirt na pilau,onea huruma Watanzania wenzako ambao hawajui nini hatima yao ya kesho wakati Magamba wenzio wanajiwekea bilioni 1 kwaajili ya mazishi.SHAME ON YOU.
 
carelessness.jpg

kazi ipo kwa tanzania hatufiki kama hata rais anadanganywa kwa njia nyepesi kiasi hiki ni aibu
 
kazi ipo kwa tanzania hatufiki kama hata rais anadanganywa kwa njia nyepesi kiasi hiki ni aibu

Hiyo cheki iliandaliwa na Chadema? Ingekuwa anayepokea ni kiongozi wa Chadema hizo picha tungeziona hadi gazeti la Uhuru na Habari Leo. Yaani mkuu wa kaya hajui hata kulinganisha tarakimu na maandishi? Au ndiyo maana nchi ina matatizo lukuki kwa sababu viongozi wetu wanadhani kuwa Two Hundred ni 300,000? Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Ukiangalia kwa makini tamko la CHADEMA lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba CHADEMA sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.

Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.

1+1=2 siku zote, kamwe haitakuwa tatu. Unashangaa taarifa ya mwanaHALISI kulingana na tarifa ya MARANDO, kwani anayefanya hesabu ya 1+1 Mwanza atapata jibu tofauti na atakayefanya hesabu hiyo hiyo Mtwara?! Ukweli utabaki ukweli hata kama mmoja atautafutia ilala na mwingine akautafutia Morogogo Utabaki vile vile, kuwa serikali kwa kushirikiana na polisi na UWT wanafanya matendo ya kumafia, hata akija malaika kufanya speculation atagundua fact hiyo hiyo.
 
Suala la faragha ya mawasiliano lipo kitambo sana. Serikali ilichofanya ni kukumbusha tu.

Samahani, sikumaanisha faragha ya mawasiliano, nilimaanisha kesi ya Lwakatale kufanyika FARAGHA, yote hayo ni matokeo ya hiyo report!
 
Issue ilikuwa kuonesha namba zilitiliwa mashaka bila kujali ni ya marando au nani!
 
mimi sina shida na nani aliyefanya uchunguzi, iwe ni mwanahalisi au gazeti gani sijui au marando mwenyewe, cha muhimu kwangu ni , serikali imehusika na ndio maana mara baada ya report ile kuwekwa mezani na marando, yafuatayo tumeyasikia, kwanza, jumatatu, keshi imefanyika faragha na serikali imepiga mkwara wamiliki wa makampuni ya simu na tatu, mwigulu kawa mpole kama ile issue yake ya kutishiwa kuawa ya sms wakati ule, kumbuka ni marando mwenyewe aliyeka wazi! So kwangu mimi kikubwa ni story na sio nani kaleta story.

nakuunga mkono mkuu,hicho kianachotakiwa.....kwamba je,wametenda kweli?...wanaandaa mipango miovu ya kutesa watu na kuua raia?...kwa kweli jk na wenzake ma-ccm wamekamatika vilivyo!!
 
Back
Top Bottom