Tamko la CHADEMA na dhana ya MwanaHalisi

Tamko la CHADEMA na dhana ya MwanaHalisi

mnanyanyasa viumbe visvyo na hatia na kubambikizia kesi wanadamu wanaotetea wanyonge mnatapatapa sana kwa sababu kiama chenu kimefka ipo wapi KANU ya Dikteta MOI...MUDA WENU UMEFKA
 
Mimi sina shida na nani aliyefanya uchunguzi, iwe ni Mwanahalisi au gazeti gani sijui au Marando mwenyewe, cha muhimu kwangu ni , Serikali imehusika na ndio maana mara baada ya report ile kuwekwa mezani na Marando, yafuatayo tumeyasikia, kwanza, Jumatatu, keshi imefanyika FARAGHA na serikali imepiga mkwara wamiliki wa makampuni ya simu na tatu, Mwigulu kawa mpole kama ile issue yake ya kutishiwa kuawa ya sms wakati ule, kumbuka ni Marando mwenyewe aliyeka wazi! So kwangu mimi kikubwa ni story na sio nani kaleta story.

Suala la faragha ya mawasiliano lipo kitambo sana. Serikali ilichofanya ni kukumbusha tu.
 
siasa za maji taka kila kukicha. Kila nikitazama sioni aliye bora kuiongoza nchi 2015. ni bora waweke mgombea binafsi pengine anaweza kutokea mzalendo wa kweli asiye chama maana vyama vyote viko kiuchu, kiushabiki zaidi. Hekima na busara mtihani. ukitazama CDM utakuta ufitini, majungu, maandamano, matusi, lawana bila ufumbuzi unachoka, vyama vingine hohehahe, CCM njia panda.

mfano utakuta mbunge au mwanasiasa bila kujali chama anapandikiza mbegu ya chuki kijiji hakina maji, serikali haioni. sasa najiuliz wewe kama mbuge hutoi njia mbadala ya kuwa wananchi ndio vyanzo vya uharibifu wa mazingira, ndio waliolima kwenye vyanzo vya maji, ndio wakataji miti hovyo na mengi mengineyo hata wakipanda miti haitunzwi. Sasa hiyo serikali ifanyeje. na wewe mbunge, mkuu wa wilaya, diwani, mwenyeiti wa kijiji, umechukua hatua gani kulinda mazingira yasiharibiwe kwenye eneo lako mpaka serikali ifanye! Hivi huyu serikali ni nani mbona mimi simjui. yaani kila mtu serikali, kila kitu serikali, mtaro michafu serikali, kutupa takahovyo serikali, sasa hao walio chini ya serikali kazi yao ni nini?

ningekuwa mimi kila eneo linalotokea machafuko sijui ya kuchinja, sijui nini waliopaswa kuwajibika ni viongozi wote kuanzia mbunge, diwani, katibu kata, mkuu wa mkoa, wilaya, mwenyekiti wa kijiji balozi maana hawa ndio dira. tena wangekuwa wanafungwa ukubwa wa kifungo utegemee na vyeo vyao mwenye cheo kikubwa na kifungo kiwe miaka mingi. labda tungepunguza haya mautumbotumbo.

Kilichobaki awepo mgombea binafsi, spika na wasaidizi wao wasiwe na vyama labda tungeona mapinduzi ya kweli. kuliko hii ya funika kombe.
 
ukiangalia kwa makini tamko la chadema lililotolewa na kada wao marando kuhusiana na haya mambo ya ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa mwanahalisi zaidi.kwa maana ya kwamba chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia mwanahalisi kufanya mambo yao.

Haiwezekani chama kisijue namba ya naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.ndo hapo sasa napata wazo kwamba marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.

sure mkuu. Hata mie nina mawazo kama yako ingawa nina mawazo pia kuwa namba ya zitto iliwekwa ili kumwangamiza kisiasa
 
mnanyanyasa viumbe visvyo na hatia na kubambikizia kesi wanadamu wanaotetea wanyonge mnatapatapa sana kwa sababu kiama chenu kimefka ipo wapi kanu ya dikteta moi...muda wenu umefka

nyamaza wewe, watu wanawaeleza wenye mbwa na si mbwa
 
ukiangalia kwa makini tamko la chadema lililotolewa na kada wao marando kuhusiana na haya mambo ya ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa mwanahalisi zaidi.kwa maana ya kwamba chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia mwanahalisi kufanya mambo yao.

Haiwezekani chama kisijue namba ya naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.ndo hapo sasa napata wazo kwamba marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.

nasikia saed kubenea sasa anaandika taarifa zake kupitia matamko ya chadema
 
Sasa hapo kuna kosa gani alilolifanya.Kutaja namba ya Zitto haina maana kwamba anatuhumiwa kufanya kosa lolote hii ni kwa ajili ya kuisaidia mahakama kiutendaji.Mbona namba ya Lwakatare imetajwa kwa nini yenyewe usiihoji?.
 
Mkuu sijangalia namba tu.Nimeangalia mtiririko mzima ulivyokaa ni kwamba lile gazate lililofungiwa linafanya kazi za hawa jamaa.Na huyo mzee anayejiita shushu anajua yeye kapewa asome tu
Sasa hapo kuna kosa gani alilolifanya.Kutaja namba ya Zitto haina maana kwamba anatuhumiwa kufanya kosa lolote hii ni kwa ajili ya kuisaidia mahakama kiutendaji.Mbona namba ya Lwakatare imetajwa kwa nini yenyewe usiihoji?.
 
Ukiangalia kwa makini tamko la CHADEMA lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba CHADEMA sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.

Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.

Kumbe CDM na Mwanahalisi kiboko yenu eeee!!! Hata mfanye nini kazi ya Mwanahalisi itafanywe na wengine!! Mpaka kieleweke.
 
Hivi kila Uzi wa Kuiponda CDM huwa unalipwa shilingi ukisharudi pale Lumumba?
wewe unapoitetea CDM unalipwa ngapi ukirudi togo st? au utaishia kukanwa kama Ludovick na deus?
 
Embu kuwa muwazi Chadema hawajaweka namba ya katibu mkuu..wameweka namba iliyowahi kuwa ya katibu mkuu,ambayo kwa uchunguzi wao imeonekana kuwa inatumiwa na mtu anayeitwa Jack Zoka..sasa hauelewi nini hapa
kwa maelezo ya zito mweneyewe namba bado haijapewa mtu mwingine !!!
 
wingu katumwa na nape na cashier wao waambie waliokutuma watanzania wameshajua anayewang'oa meno
:nono: hili ndo tatizo lenu chalema mbe! kila atakaye toa hoja against CDM katumwa! wewe umetumwa na nani uje kuleta utumbo wako hapa? Watanzania gani unaowasemea wewe?? semea nafsi yako achana na watanzania
 
kwa maelezo ya zito mweneyewe namba bado haijapewa mtu mwingine !!!

Zito ni meneja wa kitengo gani Vodacom? yeye ndiye anaye control re-allocation of inactive sims to new customers?
 
FYI the number still registered to Zitto Zuberi

But not being used by him!! So we dont say/accuse who the number is registered to..we accuse the one using it!! If I take your number for whatever means i use, then i will be accountable for any wrong doings with it and not you!!
 
Back
Top Bottom