Tamko la Chadema Mbeya


angalau amekumbuka wanawe. ...lakini dah! naona anatabia tata

 
uyo jamaa nilikua namchukia since ktambo! Ana kashfa 2 za rushwa juu ya jimbo la mby vjijin alipewa ela ili uchakachuz ufanyike! 1st time lilienda kuapa kwa wakili mwenzie badala ya kwa hakimu,wakaliengua! Mara ya pili lilishinda kabisa! Wakalipa hela likaachia jimbo!! Angesimamishwa mtu mwingne kwa tiket ya cdm angeshinda kwa kishindo! HAFAI MUACHENI AENDE KWA WENZIE WAKINA ROSTAM NA LOWASA
 
Very good Makata na I hope Slaa au Mbowe hawatakuwa na kuongezea moto hapa Katiba tu .
 
Mwacheni aende kwani nani ni mshindi leo, kikwete au chadema?







 
Mbeya wameamka. Shitambala asubiri tu kuzomewa mitaani nadhani sasa atahamisha makazi mmoja kwa mmoja Dar maaana mbeya vijana watamchapa bakora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…