Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 264
Sawa tamko zuri, lakini experience inaonyesha huwa hawajiuzuru kwa kuwaambia! guys let go to the streets, source iwe mabomu lakini impact yake iwe kuiondoa CCM yoote madarakani, we have many reasons now!
kuna watu wanadai kwamba chadema haiwezi kuanzisha maandamano ya nguvu ya umma lakini mimi nakataa. kule arusha kilichotokea ilikuwa ni nguvu ya umma chini ya uongozi wa chadema. siyo kila nguvu ya umma eti ni lazima ianzishwe na wananchi wenyewe nje ya vyama vyao vya siasa.
our context is different wananchi hawana social network ya kuwaunganisha zaidi ya vyama vya siasa. vyombo vya habari vinajipendekeza kwa serikali, wananchi hawajasoma hawawezi kutumia internet na pia hawana uwezo wa kununua hiyo huduma
Kwa case ya tz naamini kabisa kwamba chadema wakitaka kuanzisha nguvu ya umma itafanikiwa, afterall it has been their slogan!!