Tamko la CHADEMA asili

Tamko la CHADEMA asili

mmejitahidi na tamko lenu(kwa mujibu wa vichwa vyenu)na cku nyingine mtuletee
 
Tamko hili mlilitolea wapi na waandishi gani walihudhuria?
Tamko ili liwe tamko ni lazima litolewe ktk muktadha maalumu, watu maalumu na wakati maalumu.

Poleni sana.
Tamko si lazima waalikwe waandishi!
 
Ndugu wana jf,
CHADEMA asili tuliosalia kuipigania demokrasia ya kweli na kuupiga vita ufisadi unaofanywa na viongozi waliopo CCM na walioondoka,
Tunajua nchi ipo katika kipindi cha vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa kisera na kiuchumi,sisi CHADEMA asili tunafuatilia yale yote yanayo endelea na yanayofanywa na serikali mpya ya rais magufuli,

Labda tuseme yapo tunayompongeza na yapo tusiompongeza,
Tunayompongeza ni kama vile utendaji kazi wake wa utumbuaji majipu na kurudisha nidhamu maofisini,
pia labda tuchukue fursa hii kumpa pongezi kupewa uenyekiti,

CHADEMA asili haturidhishwi na mambo yanavyokwenda kwenye chama chetu,hivi sasa kila mmoja ni msemaji wa chama,chama kimekuwa na watu waoga kupita kiasi,tunajua sisi ni watu wa maandamano na kupigwa,

Hatuungi mkono mkono wabunge wa upinzani kutoka nje kwenye vikao vya bunge utamaduni ni kupambana kwa hoja ikishindikana maandamano,
Mpaka sasa chama kimetupa hoja yake kuu ya chama kupambana na ufisadi ambayo kipindi cha nyuma tulikua tukitembea kifua mbele,

labda tumpongeze mwenyekiti kwa kuendelea kuwepo katika harakati japo kuna watu wanataka kumzidi nguvu,
pia ombi letu mwenyekiti turudishie ile list ya mwembe yanga pale kwenye tovuti ya chama na pia sloogan ya kupambana na ufisadi lazima kila kiongozi mjumbe aimbe hilo na pia chama kufeli kwenye kuhitimu turudi kwenye harakati,

pia tunalaani chama kutumia pesa nyingi kwenye media kujaribu kusafisha watu walioamua kujifunika matope kwa utashi wao.
ni hayo kwa leo ila yapo mengi kwa baadae!

CHADEMA vyema sum sum kazi ngumu
hatupigi ila tunaua,kwanini kwa sera.

Imetolewa na CHADEMA asili
Sisi CDM hatuongozwi na wala kufikiria kwa kutumia TUMBO kama mleta Thread kadake chako tembea mbele kama kawa then kesho uje tena..as usual.
Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba,wewe ni wale haramu.
 
Ndugu wana jf,
CHADEMA asili tuliosalia kuipigania demokrasia ya kweli na kuupiga vita ufisadi unaofanywa na viongozi waliopo CCM na walioondoka,
Tunajua nchi ipo katika kipindi cha vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa kisera na kiuchumi,sisi CHADEMA asili tunafuatilia yale yote yanayo endelea na yanayofanywa na serikali mpya ya rais magufuli,

Labda tuseme yapo tunayompongeza na yapo tusiompongeza,
Tunayompongeza ni kama vile utendaji kazi wake wa utumbuaji majipu na kurudisha nidhamu maofisini,
pia labda tuchukue fursa hii kumpa pongezi kupewa uenyekiti,

CHADEMA asili haturidhishwi na mambo yanavyokwenda kwenye chama chetu,hivi sasa kila mmoja ni msemaji wa chama,chama kimekuwa na watu waoga kupita kiasi,tunajua sisi ni watu wa maandamano na kupigwa,

Hatuungi mkono mkono wabunge wa upinzani kutoka nje kwenye vikao vya bunge utamaduni ni kupambana kwa hoja ikishindikana maandamano,
Mpaka sasa chama kimetupa hoja yake kuu ya chama kupambana na ufisadi ambayo kipindi cha nyuma tulikua tukitembea kifua mbele,

labda tumpongeze mwenyekiti kwa kuendelea kuwepo katika harakati japo kuna watu wanataka kumzidi nguvu,
pia ombi letu mwenyekiti turudishie ile list ya mwembe yanga pale kwenye tovuti ya chama na pia sloogan ya kupambana na ufisadi lazima kila kiongozi mjumbe aimbe hilo na pia chama kufeli kwenye kuhitimu turudi kwenye harakati,

pia tunalaani chama kutumia pesa nyingi kwenye media kujaribu kusafisha watu walioamua kujifunika matope kwa utashi wao.
ni hayo kwa leo ila yapo mengi kwa baadae!

CHADEMA vyema sum sum kazi ngumu
hatupigi ila tunaua,kwanini kwa sera.

Imetolewa na CHADEMA asili

1.0 MATATIZO YA KICHAMA, KIFAMILIA , KI DINI NA MENGINEYO KAMA HAYO HAYATATULIWI KWA KUTUMIA MITANDAO.
2.0 CHADEMA ASILI NI ASILI YA WAPI HIYO?
 
Kwani chadema wote waliridhika na ujio wa kaka mkubwa,asili yake ndani ya ufipa!
 
Ndugu wana jf,
CHADEMA asili tuliosalia kuipigania demokrasia ya kweli na kuupiga vita ufisadi unaofanywa na viongozi waliopo CCM na walioondoka,
Tunajua nchi ipo katika kipindi cha vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa kisera na kiuchumi,sisi CHADEMA asili tunafuatilia yale yote yanayo endelea na yanayofanywa na serikali mpya ya rais magufuli,

Labda tuseme yapo tunayompongeza na yapo tusiompongeza,
Tunayompongeza ni kama vile utendaji kazi wake wa utumbuaji majipu na kurudisha nidhamu maofisini,
pia labda tuchukue fursa hii kumpa pongezi kupewa uenyekiti,

CHADEMA asili haturidhishwi na mambo yanavyokwenda kwenye chama chetu,hivi sasa kila mmoja ni msemaji wa chama,chama kimekuwa na watu waoga kupita kiasi,tunajua sisi ni watu wa maandamano na kupigwa,

Hatuungi mkono mkono wabunge wa upinzani kutoka nje kwenye vikao vya bunge utamaduni ni kupambana kwa hoja ikishindikana maandamano,
Mpaka sasa chama kimetupa hoja yake kuu ya chama kupambana na ufisadi ambayo kipindi cha nyuma tulikua tukitembea kifua mbele,

labda tumpongeze mwenyekiti kwa kuendelea kuwepo katika harakati japo kuna watu wanataka kumzidi nguvu,
pia ombi letu mwenyekiti turudishie ile list ya mwembe yanga pale kwenye tovuti ya chama na pia sloogan ya kupambana na ufisadi lazima kila kiongozi mjumbe aimbe hilo na pia chama kufeli kwenye kuhitimu turudi kwenye harakati,

pia tunalaani chama kutumia pesa nyingi kwenye media kujaribu kusafisha watu walioamua kujifunika matope kwa utashi wao.
ni hayo kwa leo ila yapo mengi kwa baadae!

CHADEMA vyema sum sum kazi ngumu
hatupigi ila tunaua,kwanini kwa sera.

Imetolewa na CHADEMA asili
Wee kipara umetumwa na Mama Mshumbusi?
 
Back
Top Bottom