Swali dogo tu,mkanda ule feki au orijinol?me nimeuona unatisha na unapanga mauaji.tunajua historia MABERE, lkn hivi karbuni alikuwa anawatetea wezi wa EPA Mahakamani lkn chama chake kinaimba Ufisadi,kama alivyosema MWIGULU wanaroga haohao lkn mtu akifa wanalia haohao,mchana watu usiku "nyau nyau".
Nasikia bado wana nyingine ambayo wameiandaa ya jaribio la CHADEMA kumpindua Kikwete. Na wanasema na yenyewe wataicheza mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. Ni katika harakati ya kutafuta sababu ya kukifuta CHADEMA. Maana Tendwa ni mtu wao, ataibuka tu na kutangaza kwamba amekifuta chadema kwa kuwa ni chama cha kigaidi or kinafanya mipango ya kuipindua serikali.
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm
nakubaliana na wewe na nadhani hii michezo ndo imeifanya ccm waamini watadumu mileleKuna kitu tunaweza kujifunza hapa. Katika hivi vinchi vyetu vya kipuuzi ambavyo watawala wanahubiri hivi lakini wanatenda vile; wanahubiri demokrasia lakini wanatenda ufashisti; kuanzisha chama cha siasa unahitaji pia kuwekeza sana kwenye system bila hivyo sahau.
Nadhani kwa kipindi kirefu ambacho hawakujishughulisha sana "kukimbilia" Ikulu hawa Chadema waliamua kwanza kuwekeza kwenye system na ndiyo inayo payback hivi leo.
Siasa katika haya mataifa masikini inahitaji akili ya hali ya juu badala ya kutegemea hisani ya watawala unless mnataka kuwa wasindikizaji tu bila vision au mission yoyote. Sio utani Chadema wana vichwa! Duh!
mm nachoshwa na uwepo wa namba ya zitto kwenye hiyo taarifa ambapo tunaambiwa anatumia mkuu wa usalama wa taifa
Kwa ushahidi huu wa mauaji na utesaji unaoasisiwa na serikali, Rais yuko uchi na sijui kwanini asijiuzulu tuu mwenyewe maana ni kama kutembea barabarani uchi na watoto wakikuonyesha unawapuuza. Kwenye sakata la Richmond alinusurika kwa kumtoa kafara Waziri Mkuu. Je sasa atamtoa nani kafara wakati hadi wanafamilia yake wanahusika na mauaji. Aibu tupu.
Ndugu zangu wana JF
Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.
Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.
Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.
Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.
Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.
Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.

uko sawa make watu wazima kama malando wanakaa na kutunga uongo mtu kama zito kapigania chadema maishayake yote halafu leo anaonekana msaliti kweli watu hawana shukuruni.

Hehe, sema mimi natamani watakapotaka kuigiza kupinduliwa kwa kikwete, wageukane wenyewe kwa wenyewe halafu wampindue kikweli kweli.Wazubutu kufanya hivyo waone nadhani siku hiyo itashuhudia mengi watu tutakufa ila ninaamini wajukuu zetu watapata maisha mazuri. Heri kifo kuliko kuishi maisha haya ya uccm