Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
Yeah ! Haya mambo niliyategemea , bado Kidogo mno kila kitu kitakuwa wazi kabisa , Aibu kubwa kuwakumba baadhi ya watu hapa Tz , Mungu hawezi hata kidogo kumficha Mnafiki .
 
God be merciful to us and bless us, and cause Your face to shine upon us, that Your way may be known on earth, and Your salvation among all nations. Let the peoples praise You, O God; Let all the peoples praise You. Oh, let the nations be glad and sing for joy! For You shall judge the people righteously, and govern the nations on earth. Let the peoples praise You, O God; let all the peoples praise You. Then the earth will yield her increase; and God, our own God, shall bless us. He shall bless us, and all the ends of the earth shall fear Him. Psalm 67
 

Hivi kweli shehe Ponda hadhaminiki?
 

Nusu saa ni lugha ya picha kumaanisha haisumbui....ni kama dakika sufuri,kama radi n.k....
Kesi ina taratibu zake ambazo ni mlolongo mrefu....!
 
Mkuu kama umesoma hiyo taarifa ya Kamanda Mabere Marando mwanasheria Mkuu wa serikali 2015 utagundua kuwa tayari hizo taarifa za masilianao ya simu anazo mkononi,hivyo hata kama watafuta ni kujidanganya tu.


 
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm

M 23 subiri uone kinachotokea NINYI CCM simnjajifanya wajanja? ngoja uone ni akina nani magaidi?
 
Nusu saa ni lugha ya picha kumaanisha haisumbui....ni kama dakika sufuri,kama radi n.k....
Kesi ina taratibu zake ambazo ni mlolongo mrefu....!

Soma hiyo signature yangu hapo chini:
 
You cannot avoid politics. It’s everywhere you turn. It’s everywhere you look. When you think about it, it’s kind of creepy to think just how ubiquitous political advertising is.

Let's pray for our leaders
 
kikwete tuanomba usituachie nchi hii kwa machafuko. nenda kwa amani kama wenzako kina mwinyi na mkapa. achana na mipango feki hiyo inayohatarisha mstakabari wa nchi kwa maslahi ya c.c.m. sijapenda kabisa habri hizi. zinatia kichefuchefu. tunataka demokrasia sio. mbona usalama wa taifa wanayo mengi ya kufanya kama udini, ufisadi, kuferi form four n.k utachafua nchi halafu uanza kujitetea.acha mara moja mambo yenu hayo kwani wananchi hawataamini hicho kwani mpango wenu huo upo wazi mno.
 
Asikupotezee muda mkuu, yuko kwa kazi maalumu, mbwa ukimjua jina akusumbui kabisa. Msg kumi zinaongozana zote anataka mumjibu apoteze maana ya uzi

Ni kweli huyo Mimi huwa namuona Kama chizi, na anamoyo. Unakataa ukweli kisa pesa!!!!!
Namshukuru sana Mungu Kwa hili na Kwa Mimi kuamini katika CHADEMA. Ni kweli kabisa hiki chama kimetumwa na Mungu na watu wake wamejaa akili.
Mawakili sita harafu ni wale wenyekubobea katika sheria. CCM mnakazi na poleni sana. Mwigulu pole sana Kwa Maana naamini hautakuja kupendwa tena nawatu wewe na familia yako, na umewaharibia heshima sana watoto wako n Jamaa zako. Ningekuwa mimi mtoto wako hakika ningekukataa.
Ridhiwani a lovely son of Rais wetu na mwendelezo wa matukio mabayamabaya. Huyu mtu mimi angekuwa my child adhab yake Ni kifo
 
Nusu saa ni lugha ya picha kumaanisha haisumbui....ni kama dakika sufuri,kama radi n.k....
Kesi ina taratibu zake ambazo ni mlolongo mrefu....!

Basi si wangetulia ili ukweli ujidhihiri kuwa hawana hatia au Lwaka hana hatia? Kwa nini wanaendelea kuhangaika kutoa maelezo kuanzia bungeni hadi kwenye press
 
Nusu saa ni lugha ya picha kumaanisha haisumbui....ni kama dakika sufuri,kama radi n.k....
Kesi ina taratibu zake ambazo ni mlolongo mrefu....!

mkuu unadhani mpaka wanataja orodha ya mawasiliano hawana hzo statement za hzo no? lazima wamepata ushahidi na ndo maana wametoa tamko hilo. ila km kweli, ccm itakuwa mahali pabaya sana.
 
Kila kona ya nchi sasa kilio ni kutekwa kung'olewa kucha na meno huku ukiachwa umepigwa na kuchakaa kama mzoga. Mengi yanasemwa ila zaidi idara ya usalama wa taifa ikisaidiana na chama cha mapinduzi ndizo zinazohusishwa zaidi.

Zinahusishwa kwasababu wananchi wanaamini kabisa sababu za kuanzishwa usalama wa taifa na kazi zake imeziacha na kuanza kufanya kazi za kisiasa zaidi. Wakitumiwa na viongozi waandamizi wa CCM kitengo hiki muhimu sana kwa nchi kimegeuka kuwa ni wakala wa chama cha siasa.

Wanateka ili kuzimisha kila aina ya kupingwa inayopata serikali. Walimtesa Dr Ulimboka ili kuwafanya madakatari waache mgomo na kuogopa kabisa kugoma kudai haki zao. Wamemtesa Kibanda ili kuhusisha vyama vya upinzani kuvipaka matope ili wananchi wachukie kwani CCM imezidiwa kila idara. Polisi walimwua Mwangosi hadharani ili kuwagopesha waandishi wa habari wasiripoti habari za vyama vya upinzani hasa Chadema.

Majuzi wametengenza mkanda wa Video ili kukihujumu chama kikuuu cha upinzani nchini na viongozi wake.

Kwa wale waliokuwepo miaka ya 1995 walishuhudia vyombo vya habari jinsi vilivyotumika kuumaliza upinzani, nakumbuka ITV ilitoa mapigano wa Rwando na Vita vya halaiki mfululizo kwenye station yake ikitisha wananchi kuwa wakichagua upinzani ndivyo hali itakavyokwa. Kwasasa vitisho kama hivyo haviwezi kufanya kazi tena.

Ubaya unakuja pale kitengo cha usalama kinapokubali kufanya kazi za siasa tena za kutesa, na kuuwa raia wasio na hatia zaidi ya kutimiza wajibu wao. Kumtesa mwananchi unatakiwa kumlinda ni hatari sana. Chuki hii inajipandikiza kila kukicha miongoni mwa wananchi ama na serikali chama tawala na viongozi waandamizi wa umma chama na serikali wanaojihusisha na uhalifu huu usio na utu, huruma wala mapenzi mema na Taifa.

Serikali ya CCM imeshindwa kabisa kutekeleza sera zake sasa inafanya vitisho dhidi ya raia wake. Imeshindwa na lazima itaondoka madarakani. Je kwanini TISS wanahusishwa kwenye uharamia huu kinyume na kiapo cha kazi zake?? Hapo majibu ni mengi au huwezi kuyapata ila kubwa zaidi weledi wa TISS kama taasisi unakufa au haupo kabisa. Kazi za mjomba na shangazi zimeingizwa kwenye taaluma muhimu sana nchini.

Ombi ni uongozi wa usalama wa Taifa washtuke na walione hili mapema. Hatuwezi kuendelea kuona ndugu zetu wanateswa na watanzania tunaowalipa kwa kodi zetu. Huwezi kutumwa kumteka na kumtesa mwananchi asiye na hatia kwa ajili ya kulinda mshahara tu. Siku moja mtatesa baba zenu, kaka , watoto, na ndugu zenu hakika mtaanza kulana wenyewe kwa kwa wenyewe.

Kwa viongozi wa CCM ukweli hakuna chama kilichobaki madarakani kwa kutesa wananchi wake, wala serikali iliyoweza kutawala kwa kuwatesa wananchi wake. USA walifanya mateso kama hayo kwa weusi ila washindwa pale weusi waliposema imetosha, S Afrika pamoja na majeshi yale ya wazungu, silaha nzito waliuwa mwisho wakasema tumenawa tunaomba amani. Hakuna taifa linaloweza kushamiri kwa hila majungu, visa, uzushi kubambikina kesi nk. Kinachofanywa ni kujenga visasi na kuanza kuogopa kutoka madarakani kuhofia mabaya uliyofanya yatakurudia.

Muda bado upo jirekebisheni acheni siasa za kutesa raia, kuuwa watu na kutenga watanzania kwa misingi ya dini, ukabila, nk CCM rudini kwenye maandiko ya katiba yenu, ya nchi na misingi ya waasisi wa chama chenu. Kuweni waungwana. TISS fanyeni kazi ya kulinda nchi, uchumi na mipaka yetu, kuwenu kioo cha maendeleo ya Taifa tafuteni tunu za taifa acheni wanasiasa wafanye siasa wote ni watanzania.

Uhasama mnaoujenga utaisambaratisha idara. Huwezi kukaa mezani na mwenye ndugu unataka kumtesa ndugu yake eti kisa kuilinda CCM ndio maana kila kitu kipo mtaani.

Mfumo JK umeingamiza nchi.
 
Hiyo ni kutafuta public sympathy tu kijana zinduka. Wanasiasa watawachezea mpaka basi!
Kikwete alishashindwa ku-deliver. Aliahidi ahadi mia+ kafulia na mi-ahadi yake sasa ndo anatafuuta hiyo public sympathy yako
 
Hapo kwenye RED ndio balaa!
 
huyu mungu na mgaidi wap na wap hata wachawi huwahi kakisanl
 
Kwann chadema wanapenda kuzungumzia mambo yaliyopo mahakamani...ni kujaribu kupreempty mahakama iwapendelee kwenye maamuzi..

Hzo si ndo kauli zenu sku zote. Mkishatatiwa mnakimbilia eti "lipo mahakamani" ni kweli lipo mahakamani! So what??
 
jipange tena huo muhanga utajitoa mwenyewe kwa kutojua matakwa ya wanasiasa unao watetea hivi unalipwa sh ngapi kwa hii kazi ya kutetea magaid
Kwa sifa hizi lazma ww ni wale wapambanaji wa mtandaoni waliopo kwenye payroll ya Nchemba. Nyie ndio VIRUSI ya JF. Wenzenu tunarusha post huku tunagonga mvinyo tartiiiibu. Nyie mnatokwa povu na kila post ya mtu, eti mpo kazini. Kazi gani hiyo taften ajira vijana, huo ujanja ujanja mtagawana njia muda si mrefu itakapokuwa dhahiri kuwa things have fallen apart ndani ya chama chenu. Nyie endeleeni kuish kwa kubabaisha tu muone mwisho wake!

Join Date : 11th April 2013
Posts : 56
Rep Power : 312
Likes Received1
Likes Given0
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…