TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Jamani ..hatimaye tumekutana na midterm ...sijui ikiisha ntarudi palepale maskini ya mungu..nimetunga...ntasahihisha na masahihisho ntawapa..lkn ya kwangu hayaendi!!!
Jaman vipi kuhusu uhamisho mbona kimya sana mwenye taarifa jamani atujuze
 
Kwakweli inatuvunja moyo na inatuchosha sana maana mipango ya wengi imevurugika. Ukizingatia maisha ya watumishi ni magumu na kupata uhamisho kuna punguza garama za maisha kwa mtumishi na kuongeza ufanisi wa kazi. Uhakiki wameshafanya hebu watuache basi tuhame tuendelee kujenga taifa. Modali wa kazi umefifia kabisa ati. Wengine tunakata tamaa tunawaza kuacha kazikutokana na changamoto tunazokumbana nazo. Lkn najipa moyo pengine kweli July watatujali maombi yetu.
 
jamani me nimechoka naacha kazi nimechoka huu uhamisho mbona hueleweki
 
Tukaweke kambi kwa Simbachawene endapo Julai hawatatoa majina huenda kilio chetu kikasikika, maana kilio chetu mitandaoni hakisikilizwi na kama kinasikilizwa basi tunapuuzwa,. Inauma sana kwa kweli
 
Kama inafaa wenzetu mliopo Dom basi fanyeni kuonana hata na waziri mkuu huenda atasikiliza kilio chetu, ofcoz hii kitu inatuvunja moyo sana watumishi.
 
Kwa habari za juu juu baada ya Simbachawene kutoa tangazo la kuruhusu uhamisho, kuna barua nyingine ilitoka ya kubatilisha, walio TAMISEMI watuthibitishie.
 
Ivi kwanini kunakuwa na ugumu hivi watu wanasubiri uhamisho miaka mitatu aisee
 
Wanaohama ni kwa vibali maalumu mfano wagonjwa,,hata mim nna ushahidi wa hilo ila sisi wengineo tunaosubiria majina ndio bado labda mwezi wa Saba huu...
 
Back
Top Bottom