Ni habari ya kusikitikisha iliotolewa na tamisemi kusitisha Ajira za wataalam wa kada ya AFYA.Sasa sielewi kuna tatzo gani katika ajira zao.Au ndo pesa kuwalipa hakuna na kama taaarifa hizi ni za kweli watu wengi nikiwamo mimi nitaaamini maneno ya Zito kabwe ni kweli kuhusiana na mapato ya Nchi. Au tulikuwa tunategemea zile billions za barick.
Mytake:
1.VIJANA wengi wa kimaskini ambao tumesomesha na wazazi wetu wauza vitumbua tumekosa ajira.Hatuna wa kumlilia.Ajira zimetolewa kikada nilikuwa nasoma chuo X makada waandamizi wote niliosoma nao wamepata ajira, Na huo wanajiorodhesha index number zao za form four.pia washukumya na kanda ya ziwa ndio wamejazwa kwenye hizo ajira ni bora wamesitisha