TAMISEMI wasitisha ajira za Afya za walioitwa na kupangiwa Vituo vya Kazi tarehe 31/10/2017

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Tafadhali rejeeni tangazo letu lenye Kumb. Na CD. 162/355/01 la tarehe 30Oktoba, 2017 lililowataarifu waombaji wa kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya walioomba kazi kuanzia 25/07 - 30/08/2017.

Rejea hapa; TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya: Tangazo la kuitwa kazini kwa walioomba kazi kuanzia tarehe 25/07 - 30/08/2017

TAMISEMI inapenda kuwataarifu waajiri na waombaji wote wa nafasi za ajira za kada za Afya kuwa imesitisha zoezi la ajira za kada za afya kwa muda mfupi ili kukamilisha taratibu za ajira.

Tamisemi.PNG
 
Nilishaachana na ajira hasa za serikali,

Hakuna kitu kinanikera kama mtu kuniamulia maisha yangu,

Yaani yeye ndo awe muamuzi wa financial status yangu pia yeye ndo aamue namna ya kuutumia muda wangu,

Ona sasa jana mnatoa kazi leo mnasitisha haya maisha waliyojipa ya kuwa Miungu ni mabaya sana

Na sasa hapo hakuna ajira mpaka 2019 ndo zitatangazwa tena
 
Mchakato wa kuppanga vituo vya kazi ulikuwa na ddosari kubwa haiwezekani mtu mmoja akapangiwa vituo viwili mbali na hilo ukiangalia kwenye ile list mpaka hospitali ya Haydom imepangiwa kituo.

Pendekezo; Tamisemi kupitia kitengo husika in vyema mkajenga utaratibu wa kupitia kupitia documents zenu before release them to the public na kazi ya kupanga isiache kwa karani pekee.
 
Ni habari ya kusikitikisha iliotolewa na tamisemi kusitisha Ajira za wataalam wa kada ya AFYA.Sasa sielewi kuna tatzo gani katika ajira zao.Au ndo pesa kuwalipa hakuna na kama taaarifa hizi ni za kweli watu wengi nikiwamo mimi nitaaamini maneno ya Zito kabwe ni kweli kuhusiana na mapato ya Nchi. Au tulikuwa tunategemea zile billions za barick.
Mytake:
1.VIJANA wengi wa kimaskini ambao tumesomesha na wazazi wetu wauza vitumbua tumekosa ajira.Hatuna wa kumlilia.Ajira zimetolewa kikada nilikuwa nasoma chuo X makada waandamizi wote niliosoma nao wamepata ajira, Na huo wanajiorodhesha index number zao za form four.pia washukumya na kanda ya ziwa ndio wamejazwa kwenye hizo ajira ni bora wamesitisha
 
wa

Wasiojulikana watakuzingua
 
color=black]Mbona kama hueleweki?? Kanda ya ziwa imeingiaje kwenye swala LA ajira?? We ndo Uko utunishi au?? Karibu tu mtaani ndg sisi tuko huku hatuna muda wa kuilalamikia selikali[/color]
 
Unalalamika wamesitishat halafu hapo hapo unasema bora wamesitisha kisa wamejaza wasukuma!!
 
Back
Top Bottom