S.Liondo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,408
- 1,712
Rushwa imetamalaki, kama rushwa imeshindikana kudhibitiwa awamu hii, basi hakuna atakayeweza kuidhibiti hata kaa atakuwa mkali kuliko Hithler.Kuna watumishi wa nne wanatoka mkoa kilimanjaro wamepigwa laki 8 @ wanasubiri barua zao