TAMISEMI wanadai wamesitisha uhamisho mbona Wafanyakazi wanahama kwa kulipia kuanzia Tsh 700,000 mpaka 1,000,000?

Kuna watumishi wa nne wanatoka mkoa kilimanjaro wamepigwa laki 8 @ wanasubiri barua zao
Rushwa imetamalaki, kama rushwa imeshindikana kudhibitiwa awamu hii, basi hakuna atakayeweza kuidhibiti hata kaa atakuwa mkali kuliko Hithler.
 
Habari za asubui wanajamvi?!

Mimi ni mhanga wa uhamisho baada ya Serikali kusitisha uhamisho nilikuwa kwenye proceess za mwisho kabla ya uhamisho kufungwa.Hivyo sikubahatika kuhama kwani Tamisemi walidai wanaboresha uhamisho na soon ungelifunguliwa. Lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna kuhama kwa mfanyakazi yeyote.

Kasumba iliojikita ni kwamba mtumishi anatakiwa kulipa 700000 mpaka 1000000 ili aweze kuhama na hazipiti wiki mbili unakuwa umehamia kwenye kituo chako.

Anachofanya mfanyakazi anayehama nikuandika barua ya geresha ya kuomba kuhama ambayo iyo barua huishia halmashauri ya mwalimu alioajiriwa kama ushahidi geresha na wapo wengine huwa hawaandiki kabisa lakini haipiti wiki 2 wanakuwa wamehamishwa.

Nina wajua wanaofanya mchezo huuu wakuwatoza watumishi pesa na kuwaamisha katika wiki zisizopungua 2.

Hivyo ushauri kwa serikali watu hawa wathibitiwe najua wapo wengi au kama ni mfumo rasmi ambao wizara ya Tamisemi inautambua basi waweke utaratibu maaalum kwani ajili ya malipo hayo kwani vishoka wamekuwa wengi na matapeli wamekuwa wengi nimepigwa 900,000 mwezi uliopita.

Hivyo tunaiomba Tamisemi kuwa makini hasa wale waliopo kwenye vitengo uchapaji wa barua za uhamisho majina yao ninayo.

Lakini kama ni mfumo rasmi basi uratibiwe vyema ili serikali ijipatie mapato kuliko kuishia kwenye mifuko ya watu wa chache
Kama umepigwa 900,000 na hukufanikiwa basi huo utaratibu haupo ila kuna matapeli wanaotumia shauku ya watumishi kuhama kama chambo.

Lakini kama ulihama kwa kutumia njia hizo na unalalamika basi wewe ndiye unayechangia kulikuza unapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria
 
H
Hata wewe kuandika ni kizungumkuti,"haujuwi".Ulitakiwa uandike "haujui".

Ni sawa na nyani kucheka "kundule" la wenzake kwa sababu haoni la kwake.Wenzake pia wanacheka "kundule lake".

Mkuu punguza fikra zako za" kikundule kikundule".
Hata wewe ulipaswa kusema hujui badala ya haujui
 
Huo ni udhaifu wa nyie nyie waalimu kupenda shortcut
unaanzaje kutoa laki 700,000 mi hata buku sikupi
na hizo pesa mnampa nani halmasauri au Tamisemi
hao watu si mnawajua watajeni wachukuliwa hatua lah si hivyo mtakua ni watu wa kupigwa kila leo
poleni lakin
kwani amekwambia yeye mwalimu?? mbona kila kitu mnamsingizia mwalimu?
 
Wewe acha tuu hawa ndio wanaomuangusha Raisi wetu lakini naimani waziri mwenye dhamana watalishugulikia hili
Aah jiwe naye mpigaji upigaji wameachiwa kanda ya lake ole kanda3 ya mlima ufanye hayo utapondwa uwe3 chapattis
 
Wasiliana na waziri wa Tamiseni, Mh Seleman Jafo kwa....

Phone: +255685651070

Email Address: s.jafo@bunge.go.tz

Habari za asubui wanajamvi?!

Mimi ni mhanga wa uhamisho baada ya Serikali kusitisha uhamisho nilikuwa kwenye proceess za mwisho kabla ya uhamisho kufungwa.Hivyo sikubahatika kuhama kwani Tamisemi walidai wanaboresha uhamisho na soon ungelifunguliwa. Lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna kuhama kwa mfanyakazi yeyote.

Kasumba iliojikita ni kwamba mtumishi anatakiwa kulipa 700000 mpaka 1000000 ili aweze kuhama na hazipiti wiki mbili unakuwa umehamia kwenye kituo chako.

Anachofanya mfanyakazi anayehama nikuandika barua ya geresha ya kuomba kuhama ambayo iyo barua huishia halmashauri ya mwalimu alioajiriwa kama ushahidi geresha na wapo wengine huwa hawaandiki kabisa lakini haipiti wiki 2 wanakuwa wamehamishwa.

Nina wajua wanaofanya mchezo huuu wakuwatoza watumishi pesa na kuwaamisha katika wiki zisizopungua 2.

Hivyo ushauri kwa serikali watu hawa wathibitiwe najua wapo wengi au kama ni mfumo rasmi ambao wizara ya Tamisemi inautambua basi waweke utaratibu maaalum kwani ajili ya malipo hayo kwani vishoka wamekuwa wengi na matapeli wamekuwa wengi nimepigwa 900,000 mwezi uliopita.

Hivyo tunaiomba Tamisemi kuwa makini hasa wale waliopo kwenye vitengo uchapaji wa barua za uhamisho majina yao ninayo.

Lakini kama ni mfumo rasmi basi uratibiwe vyema ili serikali ijipatie mapato kuliko kuishia kwenye mifuko ya watu wa chache
 
Habari za asubui wanajamvi?!

Mimi ni mhanga wa uhamisho baada ya Serikali kusitisha uhamisho nilikuwa kwenye proceess za mwisho kabla ya uhamisho kufungwa.Hivyo sikubahatika kuhama kwani Tamisemi walidai wanaboresha uhamisho na soon ungelifunguliwa. Lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna kuhama kwa mfanyakazi yeyote.

Kasumba iliojikita ni kwamba mtumishi anatakiwa kulipa 700000 mpaka 1000000 ili aweze kuhama na hazipiti wiki mbili unakuwa umehamia kwenye kituo chako.

Anachofanya mfanyakazi anayehama nikuandika barua ya geresha ya kuomba kuhama ambayo iyo barua huishia halmashauri ya mwalimu alioajiriwa kama ushahidi geresha na wapo wengine huwa hawaandiki kabisa lakini haipiti wiki 2 wanakuwa wamehamishwa.

Nina wajua wanaofanya mchezo huuu wakuwatoza watumishi pesa na kuwaamisha katika wiki zisizopungua 2.

Hivyo ushauri kwa serikali watu hawa wathibitiwe najua wapo wengi au kama ni mfumo rasmi ambao wizara ya Tamisemi inautambua basi waweke utaratibu maaalum kwani ajili ya malipo hayo kwani vishoka wamekuwa wengi na matapeli wamekuwa wengi nimepigwa 900,000 mwezi uliopita.

Hivyo tunaiomba Tamisemi kuwa makini hasa wale waliopo kwenye vitengo uchapaji wa barua za uhamisho majina yao ninayo.

Lakini kama ni mfumo rasmi basi uratibiwe vyema ili serikali ijipatie mapato kuliko kuishia kwenye mifuko ya watu wa chache
Mbona wewe umetoa rushwa? Huna uzalendo wowote! ulidhani kuhamia huko mambo yangebadilika kumbe Tanzania ni moja, sasa unataka uliowapa rushwa washughulikiwe!! nawe unalo hilo. Kaa chonjo
 
Jamani waziri mwenye dhamana tuoneee huruma sisi wafanyakazi au kuna mkono wako katika hili
 
Back
Top Bottom