TAMISEMI wanadai wamesitisha uhamisho mbona Wafanyakazi wanahama kwa kulipia kuanzia Tsh 700,000 mpaka 1,000,000?

Habari za asubui wanajamvi?!

Mimi ni mhanga wa uhamisho baada ya Serikali kusitisha uhamisho nilikuwa kwenye proceess za mwisho kabla ya uhamisho kufungwa.Hivyo sikubahatika kuhama kwani Tamisemi walidai wanaboresha uhamisho na soon ungelifunguliwa. Lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna kuhama kwa mfanyakazi yeyote.

Kasumba iliojikita ni kwamba mtumishi anatakiwa kulipa 700000 mpaka 1000000 ili aweze kuhama na hazipiti wiki mbili unakuwa umehamia kwenye kituo chako.

Anachofanya mfanyakazi anayehama nikuandika barua ya geresha ya kuomba kuhama ambayo iyo barua huishia halmashauri ya mwalimu alioajiriwa kama ushahidi geresha na wapo wengine huwa hawaandiki kabisa lakini haipiti wiki 2 wanakuwa wamehamishwa.

Nina wajua wanaofanya mchezo huuu wakuwatoza watumishi pesa na kuwaamisha katika wiki zisizopungua 2.

Hivyo ushauri kwa serikali watu hawa wathibitiwe najua wapo wengi au kama ni mfumo rasmi ambao wizara ya Tamisemi inautambua basi waweke utaratibu maaalum kwani ajili ya malipo hayo kwani vishoka wamekuwa wengi na matapeli wamekuwa wengi nimepigwa 900,000 mwezi uliopita.

Hivyo tunaiomba Tamisemi kuwa makini hasa wale waliopo kwenye vitengo uchapaji wa barua za uhamisho majina yao ninayo.

Lakini kama ni mfumo rasmi basi uratibiwe vyema ili serikali ijipatie mapato kuliko kuishia kwenye mifuko ya watu wa chache
MIMI NI MTUMISHI ILA NAONA NDANI YAKO UNA SHETANI WA UONGO NA UCHOCHEZI KAMA NI KWELI WEWE KWANINI USITOE ACHA KUCHONGANISHA WATUMISHI UPO UHAMISHO MAALUM KWA KIBALI MAALUM. SASA KAMA WEWE UNAHAMA KUFUATA NDOA NA MWINGINE MGONJWA UNATEGEMEA NINI.... NDIO HAPO WEWE UNAWAZA UPUZI TUUUU
 
Wewe acha unafki mimi nayaongea haya nayajua siongei kinafiki.Kumbe kuna uhamisho maaalum wa kulipia 700000/1000000 sasa kwanini hamutangazi rasmi ili malipo yalipwe kwenye reliable account watu walipe wahame,Nitawahanikenikeni hapo kuna jamaaa mmoja anajiita mr paulina ni kiranja wa mambo hayo hapo tamisemi na mwingine kutoka kusini
 
Oya nisaidie mm nataka nitoe nawapataje watu hao ila wawe wa uhakikia nataka kuhama
 
Wewe acha unafki mimi nayaongea haya nayajua siongei kinafiki.Kumbe kuna uhamisho maaalum wa kulipia 700000/1000000 sasa kwanini hamutangazi rasmi ili malipo yalipwe kwenye reliable account watu walipe wahame,Nitawahanikenikeni hapo kuna jamaaa mmoja anajiita mr paulina ni kiranja wa mambo hayo hapo tamisemi na mwingine kutoka kusini
Ungekuwa wa kike ningesema uchonganishi umechukua ujombani. Hakuna uhamisho wa kulipia fuata taratibu ila pia kama kuna Paulina wa laki saba na unahaja ya kuhama kweli na sio uchonganishi humu basi toa uhame.
 
Ahhhh kumbe ni wewe ndo maaana maaana umepagawa acha ufala kinacholalamikiwa ni utapeli unanambia nitoe nitoe wapi nielekeze pakutoa kwani nimeshapia 900k, kama mfumo ni rasmi niambie wapi nilipe ili nihame
 
Habari za asubui wanajamvi?!

Mimi ni mhanga wa uhamisho baada ya Serikali kusitisha uhamisho nilikuwa kwenye proceess za mwisho kabla ya uhamisho kufungwa.Hivyo sikubahatika kuhama kwani Tamisemi walidai wanaboresha uhamisho na soon ungelifunguliwa. Lakini cha kushangaza mpaka leo hakuna kuhama kwa mfanyakazi yeyote.

Kasumba iliojikita ni kwamba mtumishi anatakiwa kulipa 700000 mpaka 1000000 ili aweze kuhama na hazipiti wiki mbili unakuwa umehamia kwenye kituo chako.

Anachofanya mfanyakazi anayehama nikuandika barua ya geresha ya kuomba kuhama ambayo iyo barua huishia halmashauri ya mwalimu alioajiriwa kama ushahidi geresha na wapo wengine huwa hawaandiki kabisa lakini haipiti wiki 2 wanakuwa wamehamishwa.

Nina wajua wanaofanya mchezo huuu wakuwatoza watumishi pesa na kuwaamisha katika wiki zisizopungua 2.

Hivyo ushauri kwa serikali watu hawa wathibitiwe najua wapo wengi au kama ni mfumo rasmi ambao wizara ya Tamisemi inautambua basi waweke utaratibu maaalum kwani ajili ya malipo hayo kwani vishoka wamekuwa wengi na matapeli wamekuwa wengi nimepigwa 900,000 mwezi uliopita.

Hivyo tunaiomba Tamisemi kuwa makini hasa wale waliopo kwenye vitengo uchapaji wa barua za uhamisho majina yao ninayo.

Lakini kama ni mfumo rasmi basi uratibiwe vyema ili serikali ijipatie mapato kuliko kuishia kwenye mifuko ya watu wa chache
Pole Mwalimu kazi popote
 
Hata wewe kuandika ni kizungumkuti,"haujuwi".Ulitakiwa uandike "haujui".

Ni sawa na nyani kucheka "kundule" la wenzake kwa sababu haoni la kwake.Wenzake pia wanacheka "kundule lake".

Mkuu punguza fikra zako za" kikundule kikundule".
Kiswahili sanifu ni "kikundulekundule" na siyo kikundule kikundule

Uache kidomodomo chako! Sijasema "kidomo kidomo"
 
Wewe unasema umepigwa, so kuna uwezekano mkubwa umetapeli hata na watu wasio watumishi wa Tamisemi. Tambua kwamba matapeli ni wengi usiingie ktk mkumbo wa kuchafua watu bila sababu.

Wewe ungefanikiwa kuhama kwa hiyo rushwa yako ungenyamaza so kama umeeona wenzako wamefanikiwa kwa njia ile ile chafu ambayo uliitegemea walaumu nini.

Takukuru waanze na wewe!
 
Wewe acha unafki mimi nayaongea haya nayajua siongei kinafiki.Kumbe kuna uhamisho maaalum wa kulipia 700000/1000000 sasa kwanini hamutangazi rasmi ili malipo yalipwe kwenye reliable account watu walipe wahame,Nitawahanikenikeni hapo kuna jamaaa mmoja anajiita mr paulina ni kiranja wa mambo hayo hapo tamisemi na mwingine kutoka kusini

Kumbe umetapeliwa.Huyo uliyemtaja siyo mtumishi wa Tamisem.Ni kanjanja,pole
 
Unajifanya unawajua watumishi wa tamisemi kwa taarifa yako mimi nimeshahama kinachokwaza ni watu kutumia uwanja huo kujinufaisha mimi siongei kama mlevi ninadata kuna wakina wafanyakazi wako mkoa wa kilimanjaro SAME, their money had been taken without their transfer to be processed, this is Sin, hivi unajua kipato cha mfanyakazi wa chini ?! Hivi vitu kama ni official vitangazwe watu walipie wahame
 
Back
Top Bottom