Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
Atakuwa kanyimwa mabaki ya keki. Wewe kama ni mwanaume, hutufai katika jamii. Kamba yako fupi, tafuta namna ya kuirefusha badala ya umbea.Leta jina tukupe u DC hapo.
Mtag Bashungwa fasta atafika hapo,na kama una madai genuine ingia ukurasa wao kaandike au andika kwenye email binafsi ya wazairi.Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo.
Haya yafuatayo.
1.Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake.Imeweka miongozo yake na sheria zake ambazo zimekaaa kiupigaji na kujinufaisha wafanyakazi wa hapo. Na wanufaika wa mifumo hii DED, DC Na HR.
Wameanzisha sheria zao ambazo ni kinyume na ni kwa maslahi yao.
2.Kuna upigaji mkubwa umefanyika kwenye ujenzi wa hospitali na zahanatiza wilaya zinazoendelea ambapo DMO ametolewa kafala kwa kusimamishwa kazi.
Lakini upigaji huu umefanyika kushirikiana maofisa walioko hapo halmashauri. Ukianzia muhasibu wa wilaya,afisa utumishi,mainjinia, DED, DAS,DC.Hawa wamehusika kwa kiasi kikubwa katika utafunaji wa pesa hizi. Hii inadabibishwa na kutofuata miongozo kutoka tamisemi.Wenyewe wamejitungia sheria zao ambazo zinawaongoza kiupigaji.
Ushauri.
Serikali ifanye reforms ya viongozi hawa kwa maslahi ya wana Songwe
Ushauri mzuri huu...Kwa hiyo wamemwagia ugali amwage mboga.Pole saana DMO, Watu wengi wanajua umeonewa!!! Lakini hapa JF utachelewa, we nenda moja kwa moja kwa Bashungwa
Afisa utumishi ndio shida pale ni mvivu hafanyi kazi yeye ni mtu wa michongo sana. amedhirikians na Ded na hawafuati maelekezo ya Tamisemi ndio maana ndio maana wsnawatia wenzao kwenye matatizoAhahaha DMO kaliwa kichwa. Noma sana nae utakuta u DMO alipewa wa michongo akakutana na wajanja wakala kichwa.
Rudi bench kaendelee kutibu maana kama ulithibitishwa mshahara utakuwa vilevile.
Vyeo vya michongo vimejaa wizara ya afya bila kuangalia weledi na elimu
Duh nimeumia Sana ,ndiyo maana niomba kazi ya kufunga Madilisha & Milango ya ya aluminium ( Aluminium & glass fittings) lakini wakawa hawaeleweki na kuninyima kazi ,bila shaka waligundua kuwa nisinge toa 20% ya kazi. Na kufanya kazi kuoungua uboraTamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo.
Haya yafuatayo.
1.Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake.Imeweka miongozo yake na sheria zake ambazo zimekaaa kiupigaji na kujinufaisha wafanyakazi wa hapo. Na wanufaika wa mifumo hii DED, DC Na HR.
Wameanzisha sheria zao ambazo ni kinyume na ni kwa maslahi yao.
2.Kuna upigaji mkubwa umefanyika kwenye ujenzi wa hospitali na zahanatiza wilaya zinazoendelea ambapo DMO ametolewa kafala kwa kusimamishwa kazi.
Lakini upigaji huu umefanyika kushirikiana maofisa walioko hapo halmashauri. Ukianzia muhasibu wa wilaya,afisa utumishi,mainjinia, DED, DAS,DC.Hawa wamehusika kwa kiasi kikubwa katika utafunaji wa pesa hizi. Hii inadabibishwa na kutofuata miongozo kutoka tamisemi.Wenyewe wamejitungia sheria zao ambazo zinawaongoza kiupigaji.
Ushauri.
Serikali ifanye reforms ya viongozi hawa kwa maslahi ya wana Songwe
Hiii wilaya ni ya majambazi kuanzia wakuu wote wa idara kuanzia na viongozi wote wamekaaa kimchongo mchongoTamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo.
Haya yafuatayo.
1.Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake.Imeweka miongozo yake na sheria zake ambazo zimekaaa kiupigaji na kujinufaisha wafanyakazi wa hapo. Na wanufaika wa mifumo hii DED, DC Na HR.
Wameanzisha sheria zao ambazo ni kinyume na ni kwa maslahi yao.
2.Kuna upigaji mkubwa umefanyika kwenye ujenzi wa hospitali na zahanatiza wilaya zinazoendelea ambapo DMO ametolewa kafala kwa kusimamishwa kazi.
Lakini upigaji huu umefanyika kushirikiana maofisa walioko hapo halmashauri. Ukianzia muhasibu wa wilaya,afisa utumishi,mainjinia, DED, DAS,DC.Hawa wamehusika kwa kiasi kikubwa katika utafunaji wa pesa hizi. Hii inadabibishwa na kutofuata miongozo kutoka tamisemi.Wenyewe wamejitungia sheria zao ambazo zinawaongoza kiupigaji.
Ushauri.
Serikali ifanye reforms ya viongozi hawa kwa maslahi ya wana Songwe
Kaka yangu Dr. Humphrey Masuki majungu haya hayatakusaidia. Wewe ni mtumishi wa umma ambaye mwajiri wako anaweza kukuhamisha wakati wowote kwa kadiri ya matakwa yake. Kuhamishwa kwako isiwe sababu ya kutengeneza majungu dhidi ya wenzio.yao.