TAMISEMI imeajiri mtu aliyepata divisheni ZERO kwenda kufundisha watoto wetu

Ni mwendelezo wa kubaini mapungufu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira za ualimu

Round hii namleta kwenu ABDU SHABANI ALLY mwalimu mtarajiwa shule ya msingi mkalama halmashauri ya Gairo.

Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa ABDU ALLY ametumia nambari ya kidato cha nne ya binti ambaye alipata divisheni sifuri kujipatia ajira ya ualimu zilizotangazwa na tamisemi hivi karibuni.

Nambari yenyewe ya kidato cha nne ni hii hapa: S2166-0021/2012

ikumbukwe kuwa matokeo ya kidato cha nne yalifutwa na kurudiwa upya baada ya kufanyiwa standardization.

Lakini katika matokeo yote huyu mwanafunzi aliyesoma shule ya sekondari KIROKA alipata matokeo ya daraja sifuri kama ifuatavyo;

CIV- F, HIST-F, KISW- F, ENG-F, PHY- F, CHEM -F, BIO- F, MATH- F. Division :0 point : 35

Ikumbukwe kuwa ABDU ALLY ametumia index namba ya kidato cha nne hiyo hiyo (S2166-0021/2012) na matokeo hayo hayo ya divisheni sifuri kujipatia ajira kupitia tamisemi. Jina la ABDU lipo kwenye ukurasa wa pili kwenye majina ya ajira za walimu

Kwa tafsiri nyingine TAMISEMI imeajiri mtu wa divisheni zero kwenda kufundisha huku wenye sifa stahiki wakiachwa.

Kiambatanisho: matokeo ya mtahiniwa mwenye index namba S. 2166-0021/2012

View attachment 1637678

Kiambatanisho:ushahidi wa mwalimu mwenye index namba S2166-0021/2012 aliyeajiriwa
View attachment 1637679

View attachment 1637680

N:B Kutokana na mapungufu yaliyo kwisha kubainiwa na mengine tutakayo endelea kuyabaini na kuyaibua hadharani. Tunaomba serikali isitishe kwa muda mchakato wa kuwaruhusu walimu wapya kuripoti vituoni badala yake mchakato wa kuwapangia walimu shule za kufanyia kazi urudiwe upya na uchunguzi kwa kupitia takukuru na TISS ufanyike ili watumishi wote waliohusika kufanya ubadhirifu kwenye hizi ajira wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.
Mimi naona aibu
 
Kama hili unalosema ni kweli basi yule wa 2019 na yeye ni namba ya kwanza kufanyia mtihani ?
Hapo kuna sehemu unasahau, utaratibu upo kama sikosei namba ya kwanza kufanyia mtihani ndio huwa inatakiwa. Hivyo basi huyo RAIA mwenzetu bila shaka karudia mtihani miaka iliyofuata. Nina mifano mingi ya watu waliofail huo mwaka na leo wamegraduate. Cha msingi ridhika tu kila kitu kina sababu yake, kukosa kwako ni mpango wa MUNGU pia.
 
Yawezekana kweli alipata sifuri mwaka huo 2012, lakini mwaka uliofuata 2013 alirudia mtihani na kufaulu kisha kujiunga na chuo cha ualimu. Huwezi kujiunga chuo cha ualimu kwa cheti cha div sifuri. Hapo kuna taarifa haujaiweka wazi.
Kupata sifuri sio mwisho wa maisha unawezarudia mtihani ukapata div one kwa jina hilo hilo
Muwe mnasoma na kuelewa.....unaambiwa hata hiyo namba iliofeli alioitumia kwnye ualimu sio yake.....ni ya Binti ....

Tulieni mtaalamu aendelee kufukua makaburi
 
Hapo kuna sehemu unasahau, utaratibu upo kama sikosei namba ya kwanza kufanyia mtihani ndio huwa inatakiwa. Hivyo basi huyo RAIA mwenzetu bila shaka karudia mtihani miaka iliyofuata. Nina mifano mingi ya watu waliofail huo mwaka na leo wamegraduate. Cha msingi ridhika tu kila kitu kina sababu yake, kukosa kwako ni mpango wa MUNGU pia.
Mleta mada ameshawaambia, hiyo namba sio tu kuwa ilipata sifuri, Bali hata kiumiliki sio yake
 
Na tutanyooka tu.......mkuu endelea kutuibulia matakataka mengine na mauozo yanayoendelea huko TAMISEMI
 
Yawezekana kweli alipata sifuri mwaka huo 2012, lakini mwaka uliofuata 2013 alirudia mtihani na kufaulu kisha kujiunga na chuo cha ualimu. Huwezi kujiunga chuo cha ualimu kwa cheti cha div sifuri. Hapo kuna taarifa haujaiweka wazi.
Kupata sifuri sio mwisho wa maisha unawezarudia mtihani ukapata div one kwa jina hilo hilo
Kama alirudia namba ya mtihan ingeanza na P na so S
 
Ni mwendelezo wa kubaini mapungufu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira za ualimu

Round hii namleta kwenu ABDU SHABANI ALLY mwalimu mtarajiwa shule ya msingi mkalama halmashauri ya Gairo.

Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa ABDU ALLY ametumia nambari ya kidato cha nne ya binti ambaye alipata divisheni sifuri kujipatia ajira ya ualimu zilizotangazwa na tamisemi hivi karibuni.

Nambari yenyewe ya kidato cha nne ni hii hapa: S2166-0021/2012

ikumbukwe kuwa matokeo ya kidato cha nne yalifutwa na kurudiwa upya baada ya kufanyiwa standardization.

Lakini katika matokeo yote huyu mwanafunzi aliyesoma shule ya sekondari KIROKA alipata matokeo ya daraja sifuri kama ifuatavyo;

CIV- F, HIST-F, KISW- F, ENG-F, PHY- F, CHEM -F, BIO- F, MATH- F. Division :0 point : 35

Ikumbukwe kuwa ABDU ALLY ametumia index namba ya kidato cha nne hiyo hiyo (S2166-0021/2012) na matokeo hayo hayo ya divisheni sifuri kujipatia ajira kupitia tamisemi. Jina la ABDU lipo kwenye ukurasa wa pili kwenye majina ya ajira za walimu

Kwa tafsiri nyingine TAMISEMI imeajiri mtu wa divisheni zero kwenda kufundisha huku wenye sifa stahiki wakiachwa.

Kiambatanisho: matokeo ya mtahiniwa mwenye index namba S. 2166-0021/2012

View attachment 1637678

Kiambatanisho:ushahidi wa mwalimu mwenye index namba S2166-0021/2012 aliyeajiriwa
View attachment 1637679

View attachment 1637680

N:B Kutokana na mapungufu yaliyo kwisha kubainiwa na mengine tutakayo endelea kuyabaini na kuyaibua hadharani. Tunaomba serikali isitishe kwa muda mchakato wa kuwaruhusu walimu wapya kuripoti vituoni badala yake mchakato wa kuwapangia walimu shule za kufanyia kazi urudiwe upya na uchunguzi kwa kupitia takukuru na TISS ufanyike ili watumishi wote waliohusika kufanya ubadhirifu kwenye hizi ajira wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.
kwa hiyo wewe roho imekuuma sana huyo kupata ajira ee. kweli mchawi sio lazima aroge usiku
 
Mbona hayo matokeo ya NECTA haujaonyesha ni mwaka gani sana sana umeonyesha index number tu ambayo inakuaga repetitive kila mwaka katika shule. Na kuna uwezekano asiye yeye unless iwe attached na mwaka
Acha uvivu wa kutafuta taarifa. Ingia kwenye tovuti ya necta uangalie hayo matokeo kisha urudi hapa kufuta huu utetezi dhaifu uliotoa
 
Ni mwendelezo wa kubaini mapungufu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira za ualimu

Round hii namleta kwenu ABDU SHABANI ALLY mwalimu mtarajiwa shule ya msingi mkalama halmashauri ya Gairo.

Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa ABDU ALLY ametumia nambari ya kidato cha nne ya binti ambaye alipata divisheni sifuri kujipatia ajira ya ualimu zilizotangazwa na tamisemi hivi karibuni.

Nambari yenyewe ya kidato cha nne ni hii hapa: S2166-0021/2012

ikumbukwe kuwa matokeo ya kidato cha nne yalifutwa na kurudiwa upya baada ya kufanyiwa standardization.

Lakini katika matokeo yote huyu mwanafunzi aliyesoma shule ya sekondari KIROKA alipata matokeo ya daraja sifuri kama ifuatavyo;

CIV- F, HIST-F, KISW- F, ENG-F, PHY- F, CHEM -F, BIO- F, MATH- F. Division :0 point : 35

Ikumbukwe kuwa ABDU ALLY ametumia index namba ya kidato cha nne hiyo hiyo (S2166-0021/2012) na matokeo hayo hayo ya divisheni sifuri kujipatia ajira kupitia tamisemi. Jina la ABDU lipo kwenye ukurasa wa pili kwenye majina ya ajira za walimu

Kwa tafsiri nyingine TAMISEMI imeajiri mtu wa divisheni zero kwenda kufundisha huku wenye sifa stahiki wakiachwa.

Kiambatanisho: matokeo ya mtahiniwa mwenye index namba S. 2166-0021/2012

View attachment 1637678

Kiambatanisho:ushahidi wa mwalimu mwenye index namba S2166-0021/2012 aliyeajiriwa
View attachment 1637679

View attachment 1637680

N:B Kutokana na mapungufu yaliyo kwisha kubainiwa na mengine tutakayo endelea kuyabaini na kuyaibua hadharani. Tunaomba serikali isitishe kwa muda mchakato wa kuwaruhusu walimu wapya kuripoti vituoni badala yake mchakato wa kuwapangia walimu shule za kufanyia kazi urudiwe upya na uchunguzi kwa kupitia takukuru na TISS ufanyike ili watumishi wote waliohusika kufanya ubadhirifu kwenye hizi ajira wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.
Boss umemaliza kila kitu
 
Mbona fresh tu acha akafundishe na yeye apate mshahara.

Hakuna tofauti na waliopora uchaguzi waziwazi. Ebu waacheni wapate rizki.

Pia yule aliyerudiwa mara 196 aripoti kotokote,. Hapa ndipo ujue waliopata hizo kazi kuna connection ya ajabu
 
Typing errors tu hizo... siku akiripoti atapeleka na atakaguliwa vyeti halisi hakuna janja janja kwenye serikali hii ya jpm
Mkuu typing error kwenye tech za kisasa inatokea kwa uzembe na kuajiri watu wasiojua huku wanaojua wakiachwa mtaani. Kwa technology ya sasa, haya makosa ya kuchangaya namba na wamiliki ilitakiwa system ingewatema juu kwa juu.
Kama wiki 2 zimepita Kuna dogo alinambia website ya NECTA sio website bali imetengenezwa kwa blog template. Kwa makosa haya nazidi kuthibitisha hili.
 
Ni mwendelezo wa kubaini mapungufu na ukiritimba uliofanywa na TAMISEMI kwenye ajira za ualimu

Round hii namleta kwenu ABDU SHABANI ALLY mwalimu mtarajiwa shule ya msingi mkalama halmashauri ya Gairo.

Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa ABDU ALLY ametumia nambari ya kidato cha nne ya binti ambaye alipata divisheni sifuri kujipatia ajira ya ualimu zilizotangazwa na tamisemi hivi karibuni.

Nambari yenyewe ya kidato cha nne ni hii hapa: S2166-0021/2012

ikumbukwe kuwa matokeo ya kidato cha nne yalifutwa na kurudiwa upya baada ya kufanyiwa standardization.

Lakini katika matokeo yote huyu mwanafunzi aliyesoma shule ya sekondari KIROKA alipata matokeo ya daraja sifuri kama ifuatavyo;

CIV- F, HIST-F, KISW- F, ENG-F, PHY- F, CHEM -F, BIO- F, MATH- F. Division :0 point : 35

Ikumbukwe kuwa ABDU ALLY ametumia index namba ya kidato cha nne hiyo hiyo (S2166-0021/2012) na matokeo hayo hayo ya divisheni sifuri kujipatia ajira kupitia tamisemi. Jina la ABDU lipo kwenye ukurasa wa pili kwenye majina ya ajira za walimu

Kwa tafsiri nyingine TAMISEMI imeajiri mtu wa divisheni zero kwenda kufundisha huku wenye sifa stahiki wakiachwa.

Kiambatanisho: matokeo ya mtahiniwa mwenye index namba S. 2166-0021/2012

View attachment 1637678

Kiambatanisho:ushahidi wa mwalimu mwenye index namba S2166-0021/2012 aliyeajiriwa
View attachment 1637679

View attachment 1637680

N:B Kutokana na mapungufu yaliyo kwisha kubainiwa na mengine tutakayo endelea kuyabaini na kuyaibua hadharani. Tunaomba serikali isitishe kwa muda mchakato wa kuwaruhusu walimu wapya kuripoti vituoni badala yake mchakato wa kuwapangia walimu shule za kufanyia kazi urudiwe upya na uchunguzi kwa kupitia takukuru na TISS ufanyike ili watumishi wote waliohusika kufanya ubadhirifu kwenye hizi ajira wachukuliwe hatua kali za kinidhamu.

Daah mbona unawalipua hao tamisemi sana mkuu........ !
IMG_2486.jpg
 
dogo acha kupotosha watu. huyu alirudia pepa akapasua. ukiangalia hayo majina yote hakuna mwenye Namba.P wote ni S.unataka kusema katika wote hakuna aliyerudia?
Screenshot_20201130-224641~2.png
Screenshot_20201130-224712~2.png

Tatizo lako wewe ni mtu wa kupinga kila kitu hata vitu ambavyo hujui unapinga. Ina maana hizo index namba zinazo anza na P hujaziona? au mhusika ni wewe mwenyewe unajisafisha? Siku nyingine fanya uchunguzi kwanza kabla ya kukurupuka
 
Back
Top Bottom