Nilijua tu haya yatakuwa majibu lakini siwangeandaaa upya kwa kulikuwa na uharaka gani wa kuwasilisha bajeti hiyoHii bajeti iliandaliwa na TAMISEMI kabla Jafo hajaondolewa, ndicho ambacho kilipelea Jafo kuondolewa pale kwa maana TAMISEMI inatumia pesa ambazo hawazikusanyi wao.
Mama Samia alisema "Nyie Tamisemi kazi yenu imekuwa kutumia tu pesa za serikali ambazo hamkuzikusanya"
Nimetuli mkuu kama ulivyoagizaTulia kunywa maji then uandike tena.
Yaani kwa akili zako unajua Waziri ndiye anaandaa Bajeti?Wizara ya TAMISEMI bajeti yao siielewi kwani inaonekana bora ya jafoo kuliko alieopo ni hatari nyumba zinajengwa kwa mamilioni ya pesa mfano kuna nyumba nimeona inajegwa kwa 830m nyingine uzio tuu 170m hivi mnatutendea haki vijana wa kitanzania na wananchi kwa ujumla...
Sawa mama umyYaani kwa akili zako unajua Waziri ndiye anaandaa Bajeti?
Na kwa akili yako unafikiri Bajeti iliyosomwa mwezi wa 4 imeandaliwa wiki iliyopita?
Rudi tena kaangalie mchakato wa Bajeti, halafu urudi tena hapa urekebishe Nyuzi yako.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app