tambwe hizza ni wa kupuuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tambwe hizza ni wa kupuuzwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masasi, Aug 9, 2010.

 1. m

  masasi Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alipokuwa upinzani tambwe hizza aliwahi kutamka kuwa kama akirudi ccm basi alale na mama yake,kwa mila za kiafrika hilo ni tusi na laana kubwa,sasa tambwe yupo ccm ametokea upinzani,je tambwe ameshalala na mama yake?anaweweseka,anahukumiwa na historia na ndio maana amegeuka kuwa mropokaji,tumpuuze
   
 2. I

  IMBOMBONGAFU Senior Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Andika vizuri majina ya watu
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama aliahdi hivyo bila shaka alitimiza
   
 4. M

  Mutu JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe duh ahadi zingine inabidi tumshamehe asipotimiza ni noma
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :mad2:
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  tambwe hiza ni kabila gani (maana hapa tz hakuna mtu yeyote miongoni mwa makabila yaliyopo tz anayeweza kutamka-kulala na mamaye) na kiwango chake cha elimu ni kipi na umri wake ni upi. MWENYE CV YAKE AIMWAGE HAPA
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Unajua siasa ni kilevi, inaonekana alipotamka maneno hayo ilikuwa imemkolea sana, sasa inabidi aulizwe kuhusu hii ahadi pengine amesha itekeleza.
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kama alisema hivyo na amerudi CCM basi atakuwa amejilaani mwenyewe kwa maneno yake mwenyewe; na ndo maana anaongea mambo mbofumbofu tu. Kumbe hayuko sawa kichwani!?
   
Loading...