Hayo ndo mapenzi yalivyo mkuu!,hayatabiriki.Habari,
Mimi nilikua nna pesa sana last year and kiukweli sijisifii ila mimi sina tabia ya umalaya sanaa kiivi na nlivyokua na pesa nlijitahid sana kupata mwanamke atakae nielwa au kunifaa kuishi nae sikupata .Japo niliingia kwenye mahusiano kadhaa lakni hayakudumu.Sasa hivi nimefulia kabisa yaan sina kitu lakin kuna msichana ananipenda sanaa na mimi nlishajua kama nlikosa kipindi nna hela sa hv ndo sipati kabisa yaani hat huyu mschna nilikutana nae kiajabu ajab na kuzoeaba nae kiajbu pia ...anasema ananipenda nashangaa imekuaje and she is very beautiful as well.Daah haya maisha lakni...acha tuuu.
Wee mamaa usitukane wanaume alaaaah!! Huna adabu nn!!!!!Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
hahaaaa....kwa hiyo tusubiri tukishafirisika ndio tutafute wachumba?
Huyo manz kaa naye, amekuelewa jinsi ulivyo tuHabari,