Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
4,390
Points
2,000
mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
4,390 2,000
Ninachojua ni kwamba mapenzi hayana formular. Ila my friend ngoja nikwambie ukweli ukiwa hauna hela mwanamke atayekupenda ni Mama yako mzazi tu.
 
Riadha jr

Riadha jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
498
Points
500
Riadha jr

Riadha jr

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2017
498 500
edwad lowasa ana sema anachukia umasikini-natafuta kauli pinzani ya kusema ina penda umasikini au inachukia utajiri-tusidanganyane money talks louder than anything else/pesa ina sauti kubwaa kuliko chochote -
 
Riadha jr

Riadha jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
498
Points
500
Riadha jr

Riadha jr

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2017
498 500
Tumestuka, tukiwapenda mkiwa hamna kitu mkipata mnatudharau na kwenda kutafuta mnaoona wanawafaa. Hivyo basi mtafute kwanza mkizipata ndio muoe. Adamu alikuwa na kila kitu ndio Eva akafuata.
uyo adamu unae msema aliletwa na kuona kila kitu kipo-kutafuta na kupata c jambo raisi-mturidhie tuu maisha ya songee mbele
 
W

wise-comedian

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
3,086
Points
2,000
W

wise-comedian

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2011
3,086 2,000
Dr Shika miaka yote aliyoishi tabata hakupata hata wa kumuomba selfie,leo hii baada ya kutangaza kuwa anasubiria mabilioni vimwana wanamwagika,muda mzuri ni pale unapokuwa nazo,maana utaziona nyingi na kuchagua iliyo bora!
 
Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Messages
7,469
Points
2,000
Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2015
7,469 2,000
Ndoa ni sawa na karata tatu.
Kuna mshikaji wangu enzi hizoooo,yeye aliamua kutoka na house girl wa jilani mara baada ya mademu wakali kumgomea maana ndio alikua anazichanga,huku na huku house girl mimba,jamaa akaamua kumsogeza getto na bado watu mtaani wakawa wanamcheka how come unachukua house girl?jamaa tukampa moyo kwamba huyo ndio mkeo so wewe usisikilize ya mtu,baada ya kuweza kuzichanga kiasi na demu kajifungua wakaamua kwenda ukweni huko Tanga,jamaa alikaa kule na mkewe kama miezi7 tukajua nauli hana,mara kodi ya nyumba ikaisha na mwenye nyumba akaomba chumba chake,tukatoa vitu tukamuhifadhia,jamaa kumbe alipofika ukweni alikutana na fulsa ya kupata kazi kwa wachina waliokia wakichimba madini fulani hivi,kumbe wakati sisi tunamsubiri yeye akawa anajenga Arusha Njiro na baada ya muda akahamia njiro,ilipotimia mwaka na miezi3 tukashangaa jamaa anaingia na Prado,ndio akatupa full story,jamaa alipiga pesa sana na baadae biashara iliharibika akahamia China na mpaka sasa yupo China na maisha yanasonga poa tu.
So my point is usichague sana,fata moyo wako unatakaje.
 
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
1,154
Points
2,000
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
1,154 2,000
Dr Shika miaka yote aliyoishi tabata hakupata hata wa kumuomba selfie,leo hii baada ya kutangaza kuwa anasubiria mabilioni vimwana wanamwagika,muda mzuri ni pale unapokuwa nazo,maana utaziona nyingi na kuchagua iliyo bora!
Asante kwa maoni. Yako mkuu!
 
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
1,154
Points
2,000
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
1,154 2,000
Ndoa ni sawa na karata tatu.
Kuna mshikaji wangu enzi hizoooo,yeye aliamua kutoka na house girl wa jilani mara baada ya mademu wakali kumgomea maana ndio alikua anazichanga,huku na huku house girl mimba,jamaa akaamua kumsogeza getto na bado watu mtaani wakawa wanamcheka how come unachukua house girl?jamaa tukampa moyo kwamba huyo ndio mkeo so wewe usisikilize ya mtu,baada ya kuweza kuzichanga kiasi na demu kajifungua wakaamua kwenda ukweni huko Tanga,jamaa alikaa kule na mkewe kama miezi7 tukajua nauli hana,mara kodi ya nyumba ikaisha na mwenye nyumba akaomba chumba chake,tukatoa vitu tukamuhifadhia,jamaa kumbe alipofika ukweni alikutana na fulsa ya kupata kazi kwa wachina waliokia wakichimba madini fulani hivi,kumbe wakati sisi tunamsubiri yeye akawa anajenga Arusha Njiro na baada ya muda akahamia njiro,ilipotimia mwaka na miezi3 tukashangaa jamaa anaingia na Prado,ndio akatupa full story,jamaa alipiga pesa sana na baadae biashara iliharibika akahamia China na mpaka sasa yupo China na maisha yanasonga poa tu.
So my point is usichague sana,fata moyo wako unatakaje.
Kweli,sensitive. nimeipenda. Sana!
 
UMASIKINI BWANA

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Messages
930
Points
1,000
UMASIKINI BWANA

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2013
930 1,000
Nilijifanya sina kitu kabisa nikachumbia mtoto mzuri kama kazaliwa mars akanikubali nikamlaza chini bila kitanda hakusema kitu mpaka sasa nipo nae tunakula ngamia kwa mrija asante mungu
 
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
3,027
Points
2,000
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
3,027 2,000
ukweli ni kuwa mwanaume ukiwa hauna pesa hata wanawake utachagua mwenyewe wa quality ya chini siku ukipata pesa ndio utajua hakufai automatic hivyo ni bora u iwn maisha uchague mwanamke wa ndoto yako.
 
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
1,154
Points
2,000
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
1,154 2,000
Nilijifanya sina kitu kabisa nikachumbia mtoto mzuri kama kazaliwa mars akanikubali nikamlaza chini bila kitanda hakusema kitu mpaka sasa nipo nae tunakula ngamia kwa mrija asante mungu
Hahah haya hongera.mkuu!
 
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
1,154
Points
2,000
nyaggad

nyaggad

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
1,154 2,000
ukweli ni kuwa mwanaume ukiwa hauna pesa hata wanawake utachagua mwenyewe wa quality ya chini siku ukipata pesa ndio utajua hakufai automatic hivyo ni bora u iwn maisha uchague mwanamke wa ndoto yako.
Hapo wahenga tunasema. "Pata pesa tujue tabia. Yako".
 
Forum statistics

Threads 1,294,192
Members 497,843
Posts 31,167,683
Top