Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

Habari wana jf!

Je ni wakati gani mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha yake kwa mwanaume?

1)je ni wakati ambao mwanaume ana maisha magumu ,hana Ajira,yani kipindi ambacho mwanaume anapambana na hali yake kutoka kwenye dimbwi la umaskini?au!

2)je ni wakati ambao mwanaume ana maisha mazuri,ana ajira nzuri,ameshatoka kwenye Dimbwi la umaskini na mwenye mafanikio ya kiuchumi?

Binafsi naona wakati mzuri wa mwanaume kutafuta mwanamke wa maisha yake,ni wakati ule mwanaume anapokuwa na maisha magumu,kwa sababu Dunia nzima hakuna mtu anaependa maisha magumu na umaskini labda awe chizi,na hapa Duniani kuna uchizi wa aina mbili tu "uchizi wa matatizo ya akili na uchizi wa mapenzi"lakini uchizi wa mapenzi ni mzuri maana huwa ni kiwango cha juu sana cha upendo, kwa mantiki hiyo ukimuona mwanamke amekubali kuishi maisha magumu na mwanaume maskini wakati kuna wanaume wenye maisha mazuri wanahitaji kuwa nae,unatakiwa ujue huyo mwanamke amechizika na mapenzi yani kwa tafsri nyingine "amependa kweli"na wahenga husema "Rafiki wa kweli ni yule akufaae kwa dhiki",ni bahati mbaya sana siku hizi wanaume wengi hutafuta wachumba pindi wanapokuwa wamefanikiwa ndio maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu!

Hakika nawaambieni"ukweli ni vigumu kumpata mwanamke anaekupenda kweli ukiwa maskini lakini ni vigumu zaidi kumpata mwanamke anaekupenda kweli ukiwa Tajiri"sasa wewe subiri ufanikiwe ndipo utafute mchumba wa kuoa halafu uone mara ume filisika baada ya kuoa,hapo ndipo utakapojua kuwa kuna wanawake wenye Destiny ya umaskini,kwa sababu wanajua kutumia tu pesa hawajui kuzalisha na hawana upendo wa kweli!

Huu ni mtizamo wangu sio sheria,toa na wewe mtizamo wako!
Well said
 
Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
Wanaume wachache sana ambao wanaweza fikiria hyo...lkn wanawake ni wengi sana wanaowageukia waume zao......unakuta mtu mpaka anapata bahat ya kusomeshwa na mpenzi au mume wake lkn akifanikiwa anatafuta wasomi wenzake hukohuko......Dah.....! Dunia inakwisha sasa,
 
Duh! Pole sana ila huyo manzi hana msimamo, utakubalije kumuacha uliyempenda na kuhangaika nae kutengeneza future yenu kwa ajili ya mchumba uliyetafutiwa na familia?? Nahisi alipatwa na tamaa tu ndo maana kakuacha

Tamaa na kutokuwa na masimamo. Bila shaka alikuwa anapanga gia za kunirudia, ila kwa kweli nilimkinai, bora ingekuwa kosa lingine ningemsamehe, ila kwa hilo nooo
 
Sio zama hz aisee, unamkubali mwanaume hana kitu, unamsaport kwa kila hali, hela za nauli za kwenda kwny interview unamtafutia hata kwa kukopa, unamsaidia kutafuta matangazo ya kazi, kuaply, kusaka vibarua huku na huku, lkn akishainuka na kupata ajira na hela basi wewe unaonekana screpa!!! Anaanza kushoboka na wavaa mawigi wanaojua kujichubua na kutumia hela wasizozitafuta!!!! Mwisho wa siku anakubwaga kweupe na kashfa juu ati wewe sio hadhi yangu...wasengerema kweli hawa viumbe.
Ule upendo wa kujionja toka moyoni kusema hata tutafakari mema tuliyotendewa na wenza wetu ili tuzd kuona thamani yao haupo tena....umebaki upendo wa kupelekana beach,bar,na kuletewa maua.....
 
Daaah mada nimeipenda ila mie nilikutana na m'mke niliye ishi nae kwa kitambo kiasi, nikampeleka baada ya kupata vihela but alivyo badilika ikawa ni shida, pesa yangu haikuwa na thamani eti maana ni ndogo total aliwapenda wenye nyingi.So, sio eti ukiwa kapuku ndo utakutana na mtu sahihi lahashaaa......hii mambo zaidi ni kumuomba Mungu
Kweli mke mwema. Anatoka. Kwa. Mungu!
 
Wanaume wachache sana ambao wanaweza fikiria hyo...lkn wanawake ni wengi sana wanaowageukia waume zao......unakuta mtu mpaka anapata bahat ya kusomeshwa na mpenzi au mume wake lkn akifanikiwa anatafuta wasomi wenzake hukohuko......Dah.....! Dunia inakwisha sasa,
Inasikitisha. Sana binadamu wamekosa. Aibu,huruma,upendo na hofu ya mungu.
 
Habari wana jf!

Je ni wakati gani mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha yake kwa mwanaume?

1)je ni wakati ambao mwanaume ana maisha magumu ,hana Ajira,yani kipindi ambacho mwanaume anapambana na hali yake kutoka kwenye dimbwi la umaskini?au!

2)je ni wakati ambao mwanaume ana maisha mazuri,ana ajira nzuri,ameshatoka kwenye Dimbwi la umaskini na mwenye mafanikio ya kiuchumi?

Binafsi naona wakati mzuri wa mwanaume kutafuta mwanamke wa maisha yake,ni wakati ule mwanaume anapokuwa na maisha magumu,kwa sababu Dunia nzima hakuna mtu anaependa maisha magumu na umaskini labda awe chizi,na hapa Duniani kuna uchizi wa aina mbili tu "uchizi wa matatizo ya akili na uchizi wa mapenzi"lakini uchizi wa mapenzi ni mzuri maana huwa ni kiwango cha juu sana cha upendo, kwa mantiki hiyo ukimuona mwanamke amekubali kuishi maisha magumu na mwanaume maskini wakati kuna wanaume wenye maisha mazuri wanahitaji kuwa nae,unatakiwa ujue huyo mwanamke amechizika na mapenzi yani kwa tafsri nyingine "amependa kweli"na wahenga husema "Rafiki wa kweli ni yule akufaae kwa dhiki",ni bahati mbaya sana siku hizi wanaume wengi hutafuta wachumba pindi wanapokuwa wamefanikiwa ndio maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu!

Hakika nawaambieni"ukweli ni vigumu kumpata mwanamke anaekupenda kweli ukiwa maskini lakini ni vigumu zaidi kumpata mwanamke anaekupenda kweli ukiwa Tajiri"sasa wewe subiri ufanikiwe ndipo utafute mchumba wa kuoa halafu uone mara ume filisika baada ya kuoa,hapo ndipo utakapojua kuwa kuna wanawake wenye Destiny ya umaskini,kwa sababu wanajua kutumia tu pesa hawajui kuzalisha na hawana upendo wa kweli!

Huu ni mtizamo wangu sio sheria,toa na wewe mtizamo wako!
Hahha iv usawa huu Hawa Dada zetu wanapenda MTU mwenye shida ? Na ww jiulize kwanza I'll swali ila jawabu langu mie sizan kama watakubali
 
huwezi vumiliwa hivihiv katika kipindi hiki, ujue kuna matarajio yamekoswa hivyo unakuja kugandwa ww maana unakuwa ndo kimbilio,
hapa pana pande mbili...
 
Hebu funguka vizuri hizo. Pande. Mbili.
 
NI
Yah n kwel kipind ukiwa kapuku km ikitokea ukapata mwanamke na akakubali kuishi na we kipind cha msoto bhas kuna uwezekano huyo akawa anakupenda kwa dhati ...
Ni kweli bt kwa dunia ya leo ukiwa kapuku na ukapendwa na mwanamke asilimia kubwa utapata alie jeluiwa na mwanaume mwenye maisha mazuri so anaamua kumpenda kapuku ili ku avoid competition! au la utapata mwanamke anae kupenda bt wewe humpendi cos mara nyingi atakosa mvuto kwako
 
Back
Top Bottom