Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

Mkuu je naweza nikatumia king'amuzi km cha azam tc kwenye dish kubwa Yale ya zamani LA ft 8?,,maana huwa nakereka sana kipindi mvua inanyesha basi Chanel zote huoni,

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kama utaelekeza uelekeo wa 7 degree east na kuiweka kama parasite/pembeni kidogo ya lile tundu labkatikati pale juu, but it doesn't worth the effort sababu kwa matokeo mazuri utahitaji KU LNB for prime focus kama Star Gold ambazo ni gharama. Ukiweza tafuta dish la futi nne la offset (au dish la futi nne la ku)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma mkuu,ubarikiwe,ngoja nitafute la ft 4
Inawezekana kama utaelekeza uelekeo wa 7 degree east na kuiweka kama parasite/pembeni kidogo ya lile tundu labkatikati pale juu, but it doesn't worth the effort sababu kwa matokeo mazuri utahitaji KU LNB for prime focus kama Star Gold ambazo ni gharama. Ukiweza tafuta dish la futi nne la offset (au dish la futi nne la ku)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.

Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele ya dish unapata ses 4 degree 5 e zuku na startimes walipo.

Hilo dishi la kulia lenye nembo ya Azam tv ni uelekeo wa Astra 2f degree 28 e ambapo utapata chaneli zwidi ya 100 zikiwa FTA mfano lion tv kwa movies, amen tv kwa mieleka, sport connect kwa michezo mbalimbali, fight tv kwa ngumi tu na nyingine nyingi za bure za watoto comedy ,wanyama nk bila malipo yoyote kwa mwezi

Angalizo: Ili upate chaneli hizi lazima uwe na king'amuzi chochote cha NPEG 4 HD kama ALPHSBOX, FREESAT, ONEAT, STAR SAT nk.

Naimani huu uzi utawasaidia sana wanaopemda kujifunza ufundi wa madishi ambao hawajui satellite ipi dishi lake linaelekea wapi.

Picha zaidi zitafuata.

Mawindo mema!!!

View attachment 1300184View attachment 1300185

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nime kupm muda upo kimya...

SangaweJr
 
Kingamuzi gan kipo powa hizi za mpeg4 ambacho ni free na kinaiwezo wa kukamata channel za kutosha...Mjuzi nijuze viwil tu pamoja na sifa zake......Npo shy kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.

Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele ya dish unapata ses 4 degree 5 e zuku na startimes walipo.

Hilo dishi la kulia lenye nembo ya Azam tv ni uelekeo wa Astra 2f degree 28 e ambapo utapata chaneli zwidi ya 100 zikiwa FTA mfano lion tv kwa movies, amen tv kwa mieleka, sport connect kwa michezo mbalimbali, fight tv kwa ngumi tu na nyingine nyingi za bure za watoto comedy ,wanyama nk bila malipo yoyote kwa mwezi

Angalizo: Ili upate chaneli hizi lazima uwe na king'amuzi chochote cha NPEG 4 HD kama ALPHSBOX, FREESAT, ONEAT, STAR SAT nk.

Naimani huu uzi utawasaidia sana wanaopemda kujifunza ufundi wa madishi ambao hawajui satellite ipi dishi lake linaelekea wapi.

Picha zaidi zitafuata.

Mawindo mema!!!

View attachment 1300184View attachment 1300185

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa Taarifa
 
nahitaj kuipata channel Za Cannal sports na Cannal+ kwny azam tv... anae jua aelezee hapa hapa kwa faida ya wote
 
Back
Top Bottom