Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.

Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele ya dish unapata ses 4 degree 5 e zuku na startimes walipo.

Hilo dishi la kulia lenye nembo ya Azam tv ni uelekeo wa Astra 2f degree 28 e ambapo utapata chaneli zwidi ya 100 zikiwa FTA mfano lion tv kwa movies, amen tv kwa mieleka, sport connect kwa michezo mbalimbali, fight tv kwa ngumi tu na nyingine nyingi za bure za watoto comedy ,wanyama nk bila malipo yoyote kwa mwezi

Angalizo: Ili upate chaneli hizi lazima uwe na king'amuzi chochote cha NPEG 4 HD kama ALPHSBOX, FREESAT, ONEAT, STAR SAT nk.

Naimani huu uzi utawasaidia sana wanaopemda kujifunza ufundi wa madishi ambao hawajui satellite ipi dishi lake linaelekea wapi.

Picha zaidi zitafuata.

Mawindo mema!!!

View attachment 1300184View attachment 1300185

Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam,wataalamu kwanini msiwe mnatuwekea masafa kwenye dekoda huko? Ili tukinunua mafundi iwe rahisi mikoani na wilayani ni adimu sana,jee dekoda ya mpg 4 naweza pata local Chanel kwa cband? Ku band zinazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini tofauti ya kutumia satellite meter kuweka dish,na kuweka dish kwa kukisia kisia,,,?
Kiufundi inatakiwa utumie satellite finder. Iko accurate na inakurahishia kazi. Lakini pia unaweza kufunga dish hata kama hakuna umeme (baadhi ya digital finder zina betri ndani).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wajuzi nna decoder yangu ya strong nilikuwa natumia dish fut 6, ila kwa sasa dish limekufa. Je nikiweka kwa diah la azam na ile kadi nuikiiweka kwenye strong nitapata chanel za ziada?
 
Kikubwa cha kuelewa kabla hujahangaika na Astra 2F
1. Mawimbi yake (beam) yanapatikana ukanda wa magharibi na kusini magharibi mwa nchi (Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Kigoma, Tabora, Kagera na ni KU band.
2. Uelekeo, pale walipo makaburu (ds**), dish lako unaimnamisha kidogo mpaka upate degree 28 East.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dar hii Astra 2f haipatikani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa cha kuelewa kabla hujahangaika na Astra 2F
1. Mawimbi yake (beam) yanapatikana ukanda wa magharibi na kusini magharibi mwa nchi (Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Kigoma, Tabora, Kagera na ni KU band.
2. Uelekeo, pale walipo makaburu (ds**), dish lako unaimnamisha kidogo mpaka upate degree 28 East.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa sisi tulio Mwanza tu naweza ipata hii Astra 2f?

SangaweJr
 
Back
Top Bottom