Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Hah hah hah hah hahmkuu unanipa kazi kufanya rejea ya izo namba juu, kwa uvivu wa kitanzania wacha niungane na wewe japo sijafanya kurejea nyuma.
Hah hah hah hah hahmkuu unanipa kazi kufanya rejea ya izo namba juu, kwa uvivu wa kitanzania wacha niungane na wewe japo sijafanya kurejea nyuma.
Kaa kimya kama unachokiuliza huna uhakika nacho(kiding)Kwahiyo na ww hayo yote huwa unayafuata?
yeah sure mkuu21.Kaa kimya kama hukusikia vizuri yaliozungumzwa na wenzio matokeo yanayoweza kupelekea kujibu kitu tofauti na mada...
we ni mtu mzima co lazma ufate unaweza ukaacha piaSema uonavyo wewe lakin sio kuthibitisha kuwa et mda wa kukaa kimya
Kwa mfano we ndo mwalimu, mwanafunzi anakosea halafu unamuliza anakaa kimya.... Utaona sawa.... Au utamwona ana dharau na kiburi?Kukaa kimya napo ni kipaji, japo mara nyingi inasaidia sana hasa kama haitachanganywa na kisirani au dharau.
Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Mithali 17:28
Mi nikikaa kimya nitatoboka..... Siwezi jiliza wakati mdomo ninao.Yani hapo wawili. Nikae kimya au nilie. Ila siwezi kukaa kimya nitakupa linalokustahili tu
MhKwa akina sisi kuongea ndo tiba.... Eti unikere nikae kimya mpaka hasira ziishe Hapana..... Nitaongea mpaka .
No 20 ,18 Sawa 15 nitapasuka.... 14 sijui 13 bora uvunjike kuliko kuletewa ujinga... 12 ndo -sawa napenda ili ajifunze siku nyingine ...11,10,9 Sawa..... 8 inategemea...
Hahahahaaa.Mi nikikaa kimya nitatoboka..... Siwezi jiliza wakati mdomo ninao.
Umeokoka?!True,ila kila kitu kina kiasi.Hata Yesu mwenyewe hakukaa kimya kiasi hiko.
Ukae kimya ili usivunje urafiki? Sasa mbona maisha ya kinafiki hayo.
Utaishia kuonekana boya.
Actually,anayefanya hayo yote ni boya.
ni bora anyamaze au akutukane?Kwa mfano we ndo mwalimu, mwanafunzi anakosea halafu unamuliza anakaa kimya.... Utaona sawa.... Au utamwona ana dharau na kiburi?
ongea kwa kufkiria kwnza ucje ukajutia maneno ykoMi nikikaa kimya nitatoboka..... Siwezi jiliza wakati mdomo ninao.
huna tofaut na mmNapoamua kukaa kimya huwa inakuwa milele mpk siku nayoingia kaburini hutosikia nikikwambia kitu