Namdharau dispite the fact amenizid elimu na Maendeleo. Kiongoz maana yake nn? Sidhan kama anafahamu wajibu wake vyema..
Kama anasema watanzania hawawez kuwekeza kwenye gas, kwann asitafute namna ya kukuza mitaj yao?
Serikal inaweza Organise, ama shawish wafanya biashara wakubwa kuunganisha mitaj yao kisha kuwekeza ktk uzalishaj wa gas.
Ama serikal inaweza fungua kampun kisha kuuza hisa zake kwa watanzania wafanya biashara wakubwa kisha kuwekeza pesa kwenye uzalishaj wa gas. Yaan i dont see kwann alitamka such words.
The same goes to maneno yote alotamka bungen, kiongoz nzur ni yule anaezungumza machache, kusikilza meng, kisha hutenda meng for the benefit of hs or her country.
Utaifa Nyuma, Njaa binafs Mbele, and still wakiomba kura mnatoa. Aaah.