Kuna kitu kimoja tu hakichukiwi na binadamu wote!
Kwanini njiapanda?
Hapa unaweza kupata picha sasa kwanini hawa manabii na mitume wa kileo hupenda mno kuzitumia/kuzitaja hizo point saba kwenye mahubiri yao ni kwakuwa hawamtumikii Mungu bali hutumikia nguvu za giza
Uamuzi wa kutumia mojawapo wa njiapanda hizo hutegemea na kile ukitakacho na njia aitumiayo mganga kufanikisha zoezi lake. Kwa hiyo njiapanda ione vilevile ina siri kubwa ndani yake.
Sehemu kubwa ya mahubiri yao hawamhubiri Mungu bali pesa vitu na mafanikio.. Ni Mungu pekee ndio yuko kwenye central axis ya ulimwengu vingine vyote vimrgawanyikamshana jr sijakusoma vema hapo kwa mitume na manabii wa kileo kutumia njiapanda. Je hawa jamaa wanazitumiaje? Na jr zinahusianaje na Mungu kiasi waumini wao wasitambue wanapigishwa kwata la ushirikina?
kwahiyo baada ya maelezo yote haya ya kishirikina unataka kutueleza nini?
ANTIBIOTIQUE kwani hapo umesoma nini?
ushirikina.
Duu kumbe wewe ndio @antibiotique? Yani unatumia ID mbili kwenye uzi mmoja? Nimeligiundua hilo leoshikamoo!
Me nimekula sana nazizao hao wachawi mpaka kishavu kimenitoka,wakati flani wife alikuwa ananiuliza hiv kwanini wanakuvunjia nazi vibaya mkewangu?
Tehe teeh teh hahahahahhahoo
Mkuu dagii wadau wanauliza kati ya wewe na wife wako ni nani mke?
Cc NZURI PESA mshana jr
nimeelewa sasa