Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,964
- 858,949
Kuna kitu kimoja tu hakichukiwi na binadamu wote! Mafanikio katika maisha, kuna wakati mambo hayaendi na mikwamo na vizingiti kutokea. Kama hujui kanuni za maisha shida huanzia hapo.
Watu wa jinsi hiyo hutafuta kufanikiwa ama kujikwamua kwa kwenda kutafuta msaada kwa waganga na masangoma, kwenye makala zilizotangulia tumeona makafara na matambiko ya damu, sasa kuna hili la njiapanda.
Kwanini njiapanda?
Mambo yote ya kishirikina huambatana na roho moja kwa moja na roho ziko maeneo saba ya dunia ardhini, majini, angani, kusini, kaskazini,magharibi na mashariki.
Kuna aina mbili za njiapanda ya njia tatu ambayo ndio halisi hii viapo na manuizi yake huhusika na roho za majini ardhini na angani.
Aina ya pili ni ile ya njia nne ambayo huwakilisha pande nne za dunia kaskazini kusini mashariki na magharibi
Sababu kubwa ya kuzitumia hizo njiapanda ni kwakuwa hapo ndio inakuwa kama makutano makuu ya point zote za ulimwengu (hii yaweza kuwa ngumu kidogo kueleweka) lakini mara nyingi mganga anapofanya yake hualika roho na mapepo yote kutoka pande hizo na mwishowe hukupa dawa husika ukamalizie njiapanda
Hapa unaweza kupata picha sasa kwanini hawa manabii na mitume wa kileo hupenda mno kuzitumia/kuzitaja hizo point saba kwenye mahubiri yao ni kwakuwa hawamtumikii Mungu bali hutumikia nguvu za giza
Uamuzi wa kutumia mojawapo wa njiapanda hizo hutegemea na kile ukitakacho na njia aitumiayo mganga kufanikisha zoezi lake. Kwa hiyo njiapanda ione vilevile ina siri kubwa ndani yake.