Tambiko, kafara la njiapanda

Tambiko, kafara la njiapanda

Duh!,huyu mjamaa mada zake za mambo ya Giza giza tu!,angalia tusije tukakupoteza.
 
mshana jr nitakupm nahitaji kuja kutambika mkuu. Pia kama una mazindiko nitahitaji pia
 
Last edited by a moderator:
Mshana jr huko mbeleni utakuja kuwa mganga wa jadi ndugu yangu.
But hongera kwa kujitahidi kujua vingi ambavyo wengi tunapuuza, tunaridhika na tunachojua na kutovipa second thought
 
WISE BOY ningeamua kuwa hivyo ingekuwa leo natembelea nyundo3 (hammer 3)
 
Last edited by a moderator:
Wanao mbez a mshana jr ni waafrika kweli,hivi hawajui kwamba imani hizo pia nitamaduni zetu waafrika kama wewe hufanyi wazazi wako wanakuwekea mazindiko bila wewe kujua.Mshana jr nakupa big up sana kiongozi tukumbushe zama halisi za kiafrika.
 
usasa unatuharibu sana
 
Mimi sikatai vyote ulivyozungumza eidha nimefanyiwa au nimefanya bila kujua maana yake, na tafsiri yake, na nimeona watu wakifanya pia. mshana jr miaka ile 2000 nilienda kijiji komoja mtu mvua inanyesha halowi.Hapo ndo niliamini duniani kuna watu na binaadam.
 
Eshima zenu wa kubwa, mimi nineipenda sana mada hii ya matambiko, mm nimesumbuliwa sana mwaka jana mwishoni adi mwaka huu bado mgonjwa nimepima vipimo aina zote hospitali bila nafaabikio ya NEGATIF sasa ndipo nilipoanza kupitia waganga wakienyeji wakaniambia kua Asili ndio inanisumbi bila kufanya tambiko sintopata amani mwilini !! Niliambiwa nifanye tambiko la upande wa baba kisha upande wa mama na tayari nimesha fanya laupande wa baba ila matatizo yamepungua tu hayaja kwisha kama kuna mtu anao uzoefu huyo plz naomba anifuate huku whatsap number +27789077958
 
Umeifanyia hapa nchini au nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom