Tamasha la Tanzania Women in Finance Association (TAWiFA) ikishirikiana na Mwanamke Initiative Foundation (MIF)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Akizungumza katika Mkutano wa Wanawake walio katika Sekta ya Fedha ulioandaliwa na Chama Cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.

Mgeni rasmi katika Tamasha la Uzinduzi wa Tanzania Women in Finance Association (TAWiFA) ikishirikiana na Mwanamke Initiative Foundation (MIF) alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha limeandaliwa na Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir pamoja na TIRA lililokuwa na Kauli Mbiu ya Inspire Inclusion

Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa taasisi za Serikali na Sekta binafsi kufanya jitihada za kuhakikisha Wanawake wanapata nafasi na kusikika kwenye maamuzi mbalimbali nchini.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-03-14 at 21.43.35.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-14 at 21.43.35.jpeg
    89.4 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-03-14 at 21.43.11.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-14 at 21.43.11.jpeg
    147.4 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-03-14 at 21.42.49.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-14 at 21.42.49.jpeg
    151.6 KB · Views: 4
  • GIobQNmWsAEbOEZ.jpg
    GIobQNmWsAEbOEZ.jpg
    159.1 KB · Views: 4
  • GIobkAeWcAAAImA.jpg
    GIobkAeWcAAAImA.jpg
    131.5 KB · Views: 5
Back
Top Bottom