Tamasha la miaka 50 ya uhuru Moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamasha la miaka 50 ya uhuru Moshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Filipo, Jul 30, 2011.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nipo kwenye tamasha la miaka 50 ya uhuru lililoandaliwa na TBL chini ya udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager. Wapo Twanga Pepeta na wasanii mbalimbali wa music hapa Moshi wanatoa burudani. Pia wapo wasanii wa movie akina Kanumba, Rey na wengine kibao. Pamejaa sana na machangudoa ndio usiseme. Nitaendelea kuwajuza
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Venue please,........
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hapa ni Hugo hotel Moshi karibu na kiwanja cha memorial! Ameimba kanumba akafuatia chiki, sasa ni masanja. Steve nyerere ndio rapa! Si mchezo.
   
Loading...