Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???
Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikinwakati natembea miles kutafuta chakula kuna ambaye anatembea miles kusaga chakula tumboni.
Wakati natembea miles kutafuta chakula kuna ambaye anatembea miles kusaga chakula tumboni.Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwa nn Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La Harmonize Arusha hiyo meza ya Laki5 kesho mtu anaweza asishawishike kwenda Kwenye Matamasha Yao, Jamaa Wana poor Hospitality Sana Wakuu, Sikutegemea Nilichokikuta Kwa Kweli.View attachment 1809339View attachment 1809340
Ati mwendo kaufanyejee....!!!!!Pale Diamond Jubilee Kuna Club Moja Kiingilio Tu 500k Tena una-swap Kadi Tu Unakuwa Mwendo Umeumaliza, Unaingia Zako Ndani Maisha Yanaendelea
Hivi kwa jinsi hela ilivyo ngumu na ajira hakuna, bado watu wanakimbizana kwenye matamasha ya muziki???
Tusimkufuru mwenyezi Mungu sijui Oh Mbona sipati ajira au mbona sipati hela wakati mtu unakwenda kumuunga mkono shetani (Muziki, Ulevi, Umalaya n.k) kwenye matamasha kwa kiingilio cha Sh 500,000/=, hio ni laana.
Hio 500,000/= ni mtaji tosha hata wa kuanzisha biashara ya M-Pesa au TigoPesa na kujikomboa na umasikini.
500K kuna mtu kaiandika geto kwako kuwa ni malengo yake kuipata mwisho wa mwaka
Atakwambia bora usaidie masikini...!!!Kwa hiyo mkuu waTanzania wote wana hizo shida ulizozitaja?
Atakwambia bora usaidie masikini...!!!
😊😊😊😊😊😊😊Sasa na wewe unaendaje Kwa wasanii vilaza kama hao , angalia Tu hata video za wasanii wake jinsi zilivyo poor ndo utajua jamaa anaunga unga Sana , video ya Attitude walichukua zile carpet draft nyesui na nyeupe wakagongomelea na mlingoti pamoja na mbao reject 🙂
Hapana mkuu, mimi sio mzaramo na wala sina ukaribu nao hata kidogo.[emoji1545]@Alexander The Great
Mwanangu wew ni mzalamo?
Yaani matamasha ya Bongo inabidi mashabiki ndio tulipwe.Mwanaume na nywele zangu nitoe hata Mia mbili afu afu nikaambiwe nyanyua mikono juu piga kelelee!
Au labda nikuulize Una umri gani!?
Wewe ni mgogo unachokataa ni nini??Punguza Upunguani Nyau Ww, Unadhani Wote wanaoishi Dodoma Ni Wagogo? Halafu Familia Yangu Haina Shida, deal na Maisha Yako... Naive
Itakuwa alipewa sayona twistUliwekewa maji ya masafi na juice ya afiya nn mkuu funguka
Usimpe kichwa ametoa 62500/= TUYaani unatoa TZS 500K kuangalia shoo? Ama kweli kila mtu anatoa sadaka ( asipotoa kwenye njia ya kheri basi atatoa kwenye njia ya shari kama ulivyofanya). Tembea mahospitalini utajifunza kitu