SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote.
Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Lisikiueke maadili ya kiislam, pasiwe na ngoma vyengine mulite tamasha lkn lisuwe la eidel fitriSiku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau na Burudani kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Tuliza mshono. Hauna haki miliki na Sikukuu ya Eid el FitrLisikiueke maadili ya kiislam, pasiwe na ngoma vyengine mulite tamasha lkn lisuwe la eidel fitri
Ni yule msanii anayejiita mkuu wa mkoa, asiye na kazi ya kufanya bali kupumbaza watu kwa kuwarushia vipande vya nyama? Kazi kweli kweli. Watu wengine hawana huruma kabisa. Unakusanya maskini ambao wamefanywa maskini na serikali mbovu, unatupia minofu kama mbwa na kuwaambia waabudu jina la mama bila kujali umaskini wao?Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau na Burudani na DUA kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Wakiristo mna eidefitri? Si mnazenu?Tuliza mshono. Hauna haki miliki na Sikukuu ya Eid el Fitr
Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote.
Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Mkuu wa mkoa hana tatizo bali anaowaongoza ndio wenye tatizo la kiakili.Ni yule msanii anayejiita mkuu wa mkoa, asiye na kazi ya kufanya bali kupumbaza watu kwa kuwarushia vipande vya nyama? Kazi kweli kweli. Watu wengine hawana huruma kabisa. Unakusanya maskini ambao wamefanywa maskini na serikali mbovu, unatupia minofu kama mbwa na kuwaambia waabudu jina la mama bila kujali umaskini wao?
Mbunge na RC watakuwepo?Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote.
Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Hahahaha...Ni yule msanii anayejiita mkuu wa mkoa, asiye na kazi ya kufanya bali kupumbaza watu kwa kuwarushia vipande vya nyama? Kazi kweli kweli. Watu wengine hawana huruma kabisa. Unakusanya maskini ambao wamefanywa maskini na serikali mbovu, unatupia minofu kama mbwa na kuwaambia waabudu jina la mama bila kujali umaskini wao?