<br />Ile ya kipindi kile ilikuwa inaitwa operesheni SANGARA sasa sijui hii tuiiteje maana ni balaa
Wana makumira tupo juu tumeamua kuwatolea uvivu hawa wana chama cha majambazi KAMANDA MBOWE AMEMTUMIA SALAMU KIONGOZI ZA GENGE LA WEZI JK.Wanazuoni wa Makumira now tunakuja kwa vitendo,hatutaki tena maneno matupu.
CHAMA CHA MAJAMBAZI TUNAKIANGUSHA CHALI
wakuu Arusha tunawapongeza sana. Punde tutaomba mchango wa mawazo namna tutakavyofanya tamasha la historia la cdm hapa moro. litahusisha vyuo vya SUA, MZUMBE, ST. GASPER, KIGURUNYEMBE na MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.
Mimi imebidi niende mahali penye cafe' ...hivi napewa details kwa simu, then narusha..maana mtandao wa simu leo una shida!
Maana hakuna KIJIJI TANZANIA HII AMBACHO HAWATAKANYAGA...
View attachment 21195
Aliyekuwa Mgombea wa Ubunge Arumeru Mashariki Bw. Nassari akihutubia Wanachama wa CDM.
Mh. Nassari aliwataka wasomi kutokuogopa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Nchi.
PJ weka picha zikae vizuri mkuu.