Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,264
- 219,498
- Thread starter
- #21
Tutapinga uzandiki hadi mwishoLkn si Kuna tamasha lingine ambalo lilikuwa limeandaliwa kbl ya Tamasha la akina Msama? Tamasha la Christina Shusho ,Rose Mhando na wengine litakuwepo Mlimani City na litaonyweshwa na Wasafi Tv, hivyo wale ambao hawatapenda kwenda la Msama nendeni Hilo.
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app