Sidhani kama watu kuvaa nguo kidogo ndio kunasababisha kuporomoka kwa maadili na kuongeza mihemko ya kingono, mbona wakati wa zamani wakati mababu na mabibi zetu wakiwa wanavaa nguo kidogo zaidi wengine hata kwenda uchi kabisa ndio inasemekana maadili yalikuwa juu zaidi? hakukuwa na ngono nje ya ndoa, wala mimba zisizopangwa. Tusisingizie mashindano kama haya after all watu wangapi wanafika huko?
mkuu naona misimamo yako huwa wakati mwingine imekaa kikoloni hivi, you dont want to think nje ya box, na ukiambiwa unakuwa mkali coz umejifungia ndani ya box na funguo umetupa nje.Hii ya sasa hivi semeni neno lolote, fanyeni mtakavyoweza, jamii hizi hatujuani, utamaduni tofauti, so wanachofanya ni makosa!!! siyo tu kwa hao pichani, kwanza hao at least wamevaa vizuri,!
Hapa naomba useme ni matazamo wako.
Je na mavazi hayo wanaweza kwenda makazini, makanisani, mashuleni n,k?? sio rahisi ila waliokuwa wanaishi na kuvaa nusu uchi hapo zamani walifanya na kuishi hivyo kila mahal!
Kwani wewe unaenda michezoni na nguoulizovaa kwenda kanisani?
Ikifikia mtu mwenye akili timamu anasema hizi nguo ni za kanisani na hizi fupi ni za disko au kwenye hizo show, basi anajua kabisa kuwa akivaa nguo fupi ni makosa! watu wa zamani hawakuwa na option hizo!
Kwenye michezo watu hawavai nguo fupi? nyumbani watu hawavai nguo fupi? joto la bongo wewe unavaa nini ukiwa nyumbani?
Mmomnyoko wa maadili unachangiwa na vitu vingi, kuvaa nguo fupi hakusababishi mmonyoko wa maadili, kuvaa nguo fupitu ndio mmomonyoko wa maadili wenyewe! chanzo kiko nyuma ya hapo!
Vitaje
cheers
angalia nimekugongea kale kakitu!Sidhani kama watu kuvaa nguo kidogo ndio kunasababisha kuporomoka kwa maadili na kuongeza mihemko ya kingono, mbona wakati wa zamani wakati mababu na mabibi zetu wakiwa wanavaa nguo kidogo zaidi wengine hata kwenda uchi kabisa ndio inasemekana maadili yalikuwa juu zaidi? hakukuwa na ngono nje ya ndoa, wala mimba zisizopangwa. Tusisingizie mashindano kama haya after all watu wangapi wanafika huko?
Mbona kabla ya kuja wazungu watu walikuwa wanatembea nusu uchi au sikuhizi ndo kukiuka maadili nazamani ilikuwa siyo!acheni unafiki wacha dada zetu watafute riziki kwa kutuonyesha urembo wao,Ama kweli !!!!Kambarage aliweza kuwakantroli Watanganyika, leo wapi ?watu wanakwenda utupu kama ndio kwanza wapo katika wodi ya wazazi .
Loh! watoto wazuri hawa nashindwa hata nichague yupi niache yupi...hebu weka picha zaidi bana
Hiyo ni fahari ya majicho haifilisi duka na kadiri muda unavyopita na wahafidhina kupungua tutakuwa tushawafikia wazungu pengine kuwazidi maana twaenda kasi mno kuiga mambo yao ya kibwege mambo yenye akili hatuigi kwa kasi ya kutosha. Utupu utupu kolea NGUVU ZA KIUME KWISHNEE. Tutafika tu
Kwenye red hapo, naona ni kwa jinsi gani ulivyo liberal!! kula tisa, moja nampelekea mamaa!!!Mkuu hii biashara kwa sasa haizuiliki. Labda tuanze kuwekeza nguvu kui-regulate ili isiharibu watoto wetu. Hata hivyo kuangalia viumbe adimu kama hivi ni dawa tosha kwa magonjwa ya moyo na pressure. Tuache utani, kuku wadogo ni dawa!!
Hilo ndilo jambo la msingi. Kadri mwanamume anavyozoea kuangalia utupu wa mwanamke nguvu zake za kiume zinapungua. Kwa hiyo tuangalie jinsi ya kuwazuia watoto wetu ili wasiathirike. Vinginevyo tutaanza kusikia vijana ambao jogoo lazima apepewe zaidi ya masaa 10 ili aweze kuamka na kuwika tena kwa kuchechemea! This is a slow killing poison kwa wanaume ingawa wanadhani inafurahisha kukodolea macho.
Hilo ni miongoni mwa ubaya wa haya mambo, naendelea kuuliza, hivi miss tz ina faida yoyote? je hakuna uwezekano wa kutafuta mrembo kwa njia nyingine?Turudi nyuma na kutizama je ni kweli tamaduni zetu zinaturuhusu? Secondly nimependezwa na hiyo hoja ya kutazama uchi wa mwananmke na mapungufu ya nguvu za kiume. Nitajifunza zaidi kwenye hili na nitakuja na mada yake ili kupata hoja za nguvu zaidi hata na ushuhuda ikibidi
Turudi nyuma na kutizama je ni kweli tamaduni zetu zinaturuhusu? Secondly nimependezwa na hiyo hoja ya kutazama uchi wa mwananmke na mapungufu ya nguvu za kiume. Nitajifunza zaidi kwenye hili na nitakuja na mada yake ili kupata hoja za nguvu zaidi hata na ushuhuda ikibidi