Tamaa ya uteuzi na kusifiwa yawaponza UVCCM

Hali imekua tofauti sana kwao kwani uvccm wamepenyeza vijana wengi na inasemekana wana tabia ya kuhamasishana kisirisiri wajisajili kwenye mitandao ya kijamii kumpigia debe jpm sambamba na kuwakingia kifua mabwana wao pindi wafanyavyo ubaradhuli ama matendo maovu
Wanajipendekeza kwa viongozi kwa kuwapamba kwa maneno ya fahari ili kuwafurahisha
Lengo ni ili wapewe iteuzi
Kuthibitisha haya tangu jpm ateue wakuu wa wilaya ndo vuguvugu la vijana kuanza kupiga debe likaongezeka
Mfano nzuri ni kwamba wakati gazeti la wananchi lilivyotoka mwezi huohuo wa uteuzi kuna sehemu waliandika mbinu za kuwafanya watu ili nao wateuliwe na mbinu moja ilikua kumsifia mkulu
Kuanzia siku hiyo hali imechafuka kwani wanampigia debe kwa nguvu hata akikosea
Kuwakosoa watu bila hoja
Nachowashauri vijana wenzangu na wale wa uvccm ni kwamba msigange njaa na kukurupuka ama kutumika kisiasa kwani ni hatari kubwa sana kwa taifa
Mambo mengine ni @inhumanity mfano kadhia ya kagera pesa zimeliwa na kuelekezwa sijui kukarabati wakati watu bado wanalala migombani halafu uvccm mnasapoti
Njaa ni kitu kibaya sana ndugu zangu hii njaa ya kuja kupiga debe ili angalau mpewe uteuzi ni ndoto
Acheni kutumika kisiasa haswa uvccm
cc
@mkwepa kodi
Lizaboni
@mitochini
Well said mkuu.
Hawa vijana njaa wanatusumbua sana humu JF yaan imekuwa km Facebook.
Ukiangalia thread za Lizaboni, wakudadavua, na wengine hazina mchango wwte ktk jamii zaid ya umbeya tu.
Bora yule jamaa Technicaly, huwa naenjoy sana. Utakuta mada zinagusa maendeleo.
Lkn hawa wanachama njaaa thread zao zimekaa kimbeya sana.
Mara chadema ni km kanisa, takataka tupu.
 
wanawaza uteuzi tu kutwa kushinda na uchama humu
 
Wanaudhi sana kina lizaboni utadhani matatizo ya jamii hii hayawahusu so sad njaa inawazalilisha
 
Mi nachojua kwa yanayoendelea nchini yani mambo ya dharula dhalula yasiyokuwepo kwenye bajeti ya nchi wala mipango ya nchi anayeyapongeza si mtu anayejua maana ya uongozi wa kidemokrasia na utawala wa kikatiba. Mfano wa dharula hizo ni kuzuia ongezeko la mishahara na kupanda madaraja,kusitisha ajira za vijana 3000 na kuzuia ajira mpya,kuhamia Dodoma, kununua ndege mpya nk. Hivi vyote vimezuka tu havikuwepo kwenye bajeti wala kwenye mpango wa maendeleo wa 2016/17
 
na nchi bila mipango ni sawa na gari lisilojua mwelekeo
 
Back
Top Bottom