Tamaa ya uteuzi na kusifiwa yawaponza UVCCM

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,840
17,438
Hali imekua tofauti sana kwao kwani uvccm wamepenyeza vijana wengi na inasemekana wana tabia ya kuhamasishana kisirisiri wajisajili kwenye mitandao ya kijamii kumpigia debe jpm sambamba na kuwakingia kifua mabwana wao pindi wafanyavyo ubaradhuli ama matendo maovu
Wanajipendekeza kwa viongozi kwa kuwapamba kwa maneno ya fahari ili kuwafurahisha
Lengo ni ili wapewe iteuzi
Kuthibitisha haya tangu jpm ateue wakuu wa wilaya ndo vuguvugu la vijana kuanza kupiga debe likaongezeka
Mfano nzuri ni kwamba wakati gazeti la wananchi lilivyotoka mwezi huohuo wa uteuzi kuna sehemu waliandika mbinu za kuwafanya watu ili nao wateuliwe na mbinu moja ilikua kumsifia mkulu
Kuanzia siku hiyo hali imechafuka kwani wanampigia debe kwa nguvu hata akikosea
Kuwakosoa watu bila hoja
Nachowashauri vijana wenzangu na wale wa uvccm ni kwamba msigange njaa na kukurupuka ama kutumika kisiasa kwani ni hatari kubwa sana kwa taifa
Mambo mengine ni @inhumanity mfano kadhia ya kagera pesa zimeliwa na kuelekezwa sijui kukarabati wakati watu bado wanalala migombani halafu uvccm mnasapoti
Njaa ni kitu kibaya sana ndugu zangu hii njaa ya kuja kupiga debe ili angalau mpewe uteuzi ni ndoto
Acheni kutumika kisiasa haswa uvccm
cc
@mkwepa kodi
Lizaboni
@mitochini
 
jingine hilo
B5TWck5CUAAJdw1.jpg


swissme
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom