Tamaa na Heshima havikai sehemu moja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamaa na Heshima havikai sehemu moja!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jun 6, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  TAMAA husababisha mtu kutamani asiyokua na uwezo nayo!
  TAMAA, utatamani cheo cha mwenzako!
  mke/mume wa mwenzako!
  TAMAA, humleteleza mwana wa kiume akamangwa T.igo hivihivi !
  Mwana wa kike nae hutokea akahalalisha kuchezewa T.i.g.o kwa tamaa ya kufanikisha muradi ahidiwa.
  TAMAA, ya kupata maslahi bora humsababishia Mwalimu na Mwanafunzi kushiriki kuuza na kununua mitihani .
  HESHIMA UTAKUA NAYO UKIWA MUUMINI WA TAMAA ?
  Hakika TAMAA na HESHIMA HAVIFUNGAMANI .
  Nawasilisha .
   
 2. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 996
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  asante muhesimiwa sipika kwa kunipa nafasi hii nami kuchangia hoja hii kama ifuatavyo.... ntarudi badae kidogo ngoja nikapige chabo kwa muhesimiwa konie ye atachangia nn!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  ni kweli.....

  Ila kuna 'tamaa nzuri'
  kwamba nimeona judgement kanunua kiwanja, na mie nitajibana bana nitakopa nitanunua kiwanja..... Hii nadhani heshima inakuwepo....
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,804
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
  Well said Judgement
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  BT ni hivi hiyo haitokua Tamaa!
  Huo utaitwa wivu! Wivu wa maendeleo .
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  ok, kumbe huo ni wivu?
  Subiri nukutafutie mfano mwengine loh.....
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Niko full kuungoja!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  nimerudi ila sijapata mfano mwingine...... Subiri Kongosho aje atusaidie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  BT labda kwa nyongeza nikukumbushe yaliojiri masiku ya nyuma.
  Early 70"s , 80"s makaka zetu waliopupia kazi za ubaharia walichezewa sana miili yao kinyume na maumbile kwa TAMAA ya kupata meli .
  Ninao ushahidi toshelevu ktk hilo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...