Tamaa na heshima havikai zizi moja

Atanandi

JF-Expert Member
Jul 16, 2023
341
482
Wakuu natumaini mpo salama nami nipo oky, ndugu zangu viongozi wetu kuweni na huruma na taifa letu. Haya mambo ni aibu, aibu aibu mno.

Viongozi wengi wana tamaa yaani tamaa kweli kweli wakati huo wanapenda heshima. Kamwe tamaa na heshima havikai zizi moja.

Si kwamba hawasomi hawapo, wasomi wapo ila sasa TAMAA, wakati huo wanataka heshima.
 
Back
Top Bottom