Tamaa na haja za kimwili zikiisha upendo wa dhati ama usio wa kweli hujidhirisha bayana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,052
12,303
Lengo na vichocheo vya kimwili vikijitosheleza baada ya kukutana kimwili, ndipo unaweza kuona uzuri na ubaya wa huyo ulokutana nae kwenye tendo.

na ndio maana matamanio, hamu, ugwadu na upwiru huchochea sana watu wengi kujielaza kwa uongo na kweli, na kuwashawishi wenza wao hata kwa fedha na mali ili wakutane kimwili faragha.

pindi haja zinapokua zimetimia na kwisha, sasa wanaweza kuasses uzuri na mapungufu ya kila moja.

kama mapungufu hayo, ni mazito kuyaishi na kuyavumilia, ni dhahiri hawata taftana tena kwa wakati mpaka tena pale upwiru utakapowachochea kufanya hivyo ..

Lakini kama madhaifu hayo yanahimilika, na yakaonekana yanavumilika, na mtu anaweza kuyaishi, kuyahifadhi au kuyasitiri, basi wenzi hao hutafutana mara kwa mara, na kuhitaji wawe karibu muda wote bila kujali wana upwiru ama laa...

bali wanachochewa na upendo wa dhati uliojaa mapenzi mazito ya kimwili na kiroho..

na huo ndio hua mwanzo wa upendo wa kweli, upendo wa dhati, na wa kufa na wakuzikana.
Ukishikwa hapo, shikilia apo apo 🐒
 
Ndo maajabu ya uumbaji. Ukiwa na mwanamke/mke mnayependana utashangaa namna ngono ilivyo shikilia mahusiano yenu. Haifiki hata 20% ya yale mambo yanayokufanya umuone mwenzako ni mzuri.

Ndo maana utashangaa umeoa mke baada ya miaka 5 manyonyo yamekuwa ndala, tumbo kule ila ukiambiwa ubadilishiwe upewe pisi kali hutaki hata kusikia hilo na hapo kitandani unamkumbatia joto kama lote wakati ukichepuka na dogo dogo ukishamaliza tu haraka haraka unataka umlipe aondoke hilo eneo.
 
Daah mecheka sana
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom