Tamaa mbele Mauti Nyuma by Kikwete

Tamaa mbele Mauti Nyuma by Kikwete

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
editorial-cartoon-august8-2014.jpg

yaani haapa Jakaya (Mh) akiwa na mawazo ya ajabu aliyoyashusha huko USA sijui anamaliazia ngwe yake akiwa na mawazo duni kabisa nilidhani atasema tuiombee dua Tanzania angalau angelisema INSHAALLAH !
 
Yeye tamaa zake ziko ulaya nyuyoku mauti yake yako bongo
 
Hata madini walisema hivyo hivyo
pita pale geita sasa uone hilo vumbi na mji hauna hata maji wala hospital ya maana mgonjwa hadi apelekwe bugando.
_alafu nenda huko tunakopeleka hayo madini.
_kutakuwa na miujiza gani kuwa gas itajenga tz wakati wanaandaa watoto wao waje nao kujaza ac uswis?
hii nchi fu*kin kabisa hata rai ni fuc*in nikiwemo na mimi....
fckn tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom