Tamaa mbaya!!!!!!!!!!!!!!

Tamaa mbaya!!!!!!!!!!!!!!

...ila kastori kameishia njiani, ungefanya kama sinema ya kihindi, jamaa anatokea dirishani kupoteza ushahidi, afu hako kadada kana muwekea mtego wa pili mwishooooniiii ndo jamaa anaingia kingi ila hauwawi teh.. Tehe hheee., ihhii hiiiii...

Hahahaaaaa.... usikariri mkuu, kastory ndo kashaisha kwa style hiyooo!!!!
 
Huyo siwema bado Mtoto. Kazi ya wanaume ni kuhudumia wanawake wooote, Kama jogoo au dume la ng'ombe, haya mambo ya civilization ndo balaa linapoanzia. Mi lakini na ukidume wangu nimeweza kuwa civilized,
 
Nisingejitia gharama zote hizo mpaka mwanza kufumani tu?cheusi ni cheusi tu hakitakaa kiwe cheupe
najivua gamba naenda kusaka gwanda popote liwalo na liwe.
 
Nisingejitia gharama zote hizo mpaka mwanza kufumani tu?cheusi ni cheusi tu hakitakaa kiwe cheupe
najivua gamba naenda kusaka gwanda popote liwalo na liwe.

Mamie... Siwema hakugharimika chochote zaidi ya nauli ya daladala... Na huenda hata alitembea kwa miguu... Sijui kama umeona mahali nimeandika kuwa Siwema alikuwa anafanya kazi Mwanza? Ila alimdanganya Fikiri kuwa anafanya kazi Geita...
 
Mkuu kumbuka kuwa alishafanya utambulisho kwa pande zote mbili, ina maana alishajihakikishia kuwa Siwema anafaa kuwa mke. Ingelikwua ni wapenzi hapo sawa... ruksa kufanya window shopping!!!!!!!
Kinachokatazwa kuvunjwa ni ndoa lakini si dhambi kuvunja uchumba. uchumba ni hatua ya kuelekea ndoa yani ni mapatano ya kununua kitu. mnaweza kupatana na muuzaji kisha ukiwa unaenda kufuata pesa ya kulipa ukakuta bidhaa nyingine nzuri na nafuu kuliko ya awali, hapo unahaki ya kuiulizia na hata kuinunua na hakuna dhambi.
 
Duh.... Umesomeka mkuu!!!
 
Mimi ngoja nifwate mashaeti ya charminglady.

Mimi Fikiri kwa kweli sikuwa na msimamo, nilidhani nitapata mwingine mkali kuliko Siwema...ila ki ukwl mpaka leo nampenda sana Siwema. Nisaidieni kuniombea msamaha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom