unajua mkuu akili za viongozi wetu (sijui ni waafrika sote) zina walakini na inatupasa kufanya kazi zaidi ili kuuondoa huo uwalakini au kuukubali!Kuna Ujenzi wa gorofa kubwa sana na ndefu imekamilika pale maeneo ya karibu na Ikulu ya Taifa letu. Nakumbuka zamani nilisikia Ujenzi wa magorofa makubwa na marefu na ya makazi binafsi ya watu hawaruhusiwi kujengwa karibu na Ikulu kwa sababu ya Usalama wa Ikulu na kiongozi wetu na Nchi yetu.
Lakini nimeshangaa kuona gorofa moja kubwa sana mita chache kutoka Ikulu pembezoni mwa Ocean Road Hospital,... mwanzoni nilisikia ni jengo la Uhamiaji,... nikajipa moyo kuwa ni la Serikali yenyewe ingawa kiusalama nazani si vema.
Lakini sasa kumbe Ni Apartments, na muelekeo (nyumba na madirisha) yatazama kule kule?, Je kiusalama si Hatari? au Ndio jengo lina mkono wa wakubwa fulani?, au Ndio Utandawazi?
Hilo jengo ni blunder na litabakia kuwa aibu ya uongozi uliokuwepo wakati linajengwa!
Kuna Ujenzi wa gorofa kubwa sana na ndefu imekamilika pale maeneo ya karibu na Ikulu ya Taifa letu. Nakumbuka zamani nilisikia Ujenzi wa magorofa makubwa na marefu na ya makazi binafsi ya watu hawaruhusiwi kujengwa karibu na Ikulu kwa sababu ya Usalama wa Ikulu na kiongozi wetu na Nchi yetu.
Lakini nimeshangaa kuona gorofa moja kubwa sana mita chache kutoka Ikulu pembezoni mwa Ocean Road Hospital,... mwanzoni nilisikia ni jengo la Uhamiaji,... nikajipa moyo kuwa ni la Serikali yenyewe ingawa kiusalama nazani si vema.
Lakini sasa kumbe Ni Apartments, na muelekeo (nyumba na madirisha) yatazama kule kule?, Je kiusalama si Hatari? au Ndio jengo lina mkono wa wakubwa fulani?, au Ndio Utandawazi?
Mkuu Kimbunga nimekumbuka mbali ulivyotaja Holiday Out tunakula pale halafu watoto wa IFM tunawapeleka Holiday Inn maisha haya.Hili suala limenza kuongelewa humu JF tangia msingi unaanza kujengwa pale. Wengine tulikuwa tukipata chakula cha mchana pale tunapaita Holiday Out! Hata Container la CCM limeondolewa pale imekuwa parking.
Nadhani walijiridhisha.
Wewe umekurupuka na kuangalia usalama kama kuchungulia ndani. Kumbe usalama ni pamoja na faragha ya rais na kujua nani kaingia nani katoka. Majasusi watapanga ktk hilo jengo na kufuatilia nyendo za kila anayeingia ikuluUsalama gani? nyie bado mko enzi za Nyerere. Leo uki google unaipata Ikulu yote na wewe uko nyumbani kwako, wacha kuwa kwenyeg ghorofa la karibu. Na wale wenye access ya spy satellites wanaweza kuona mpaka bafu, kuna usalama hapo?
Wacheni kuwa bado karne za mawe (stone age). Tupo karne ya dot com, twende na wakati. Wacha watu wajenge, ni vitu vya mpito tu, walijenga kina firauni ma "pyramids" leo wako wapi? itakuwa hivi vijumba vya ghorofa karibu ya Ikulu?
Mkuu Kimbunga nimekumbuka mbali ulivyotaja Holiday Out tunakula pale halafu watoto wa IFM tunawapeleka Holiday Inn maisha haya.
Kujenga ghorofa pale wala sio tatizo tukiona Ikulu ya Hong Kong au Kuala Lumpur zilivyozungukwa na maghorofa wala tusingelalamika na kighorofa kimoja.
Zamani ndio ilikuwa si nzuri kiusalama, lakini hivi sasa ambao kutokana na kukua kwa teknolojia mtu aliwa Marekani anaweza kumtazama Jk akiwa chumbani kwake, aidha kombora linaweza kutupwa maelfu ya kilomita kutoka target yake ilipo na kuongozwa kupanda vilima na kushuka mabonde hadi kwenye target husika haoja hiyo inakuwa haina mashiko sana