Tall building a threat to Ikulu

Tall building a threat to Ikulu

Jengo lenyewe mali ya serikali, tangia hapo Ikulu wamepanga kuhamia Dodoma
 
wapendwa may be our president is planning on building a state house tower greater than that, its extremely embarrasing and what is more bad is done on the face of the president what impression does this give of our president? this is just like insulting him callling him a fool and man with no vision because he should have seen this why did this people decide to insult him and show that he is corrupt to the extent of jeopardizing his security?something is extremely wrong. but its not our presidents fault cause with all the journeys its hard to notice the country changes.
 
mi nafikiri wahusika wote waadabishwe kwa sababu hili ni kama tusi kwa raisi wetu na nchi kwa ujumla kwamba hatuna uwezo wa kufikiri na kuona mbele, pia ni kukosa uzalendo na nchi unapomsaliti au kuweka maisha ya kiongozi wa nchi kwenye risk namna hiyo si jambo zuri ni sawa na kuhatarisha amani ya nchi yetu. ni vizuri likiwa pulled down kuonyesha umuhimu wa sheria au kama haitapendeza kuvunja jengo zuri hivyo wamiliki wagharamie ujenzi wa ikulu nyingine mahala pengine jambo ambalo siliafiki sana.
 
Jengo lenyewe mali ya serikali, tangia hapo Ikulu wamepanga kuhamia Dodoma

naona jengo ni la ubia kati ya tba na palm ......., lakini ule utaratibu wa kuwa na maafisa usalama kwenye vyombo mbalimbali umeishia wapi? hapo mipango miji hakuna mtu wa uwt, hapo jengo linapo jengwa hakuna muuza magazeti wa uwt au machungwa?
nani owner wa palm ..... residential appartment na share holding ikoje?
 
Ukiwa hauko serious ata walio chini yako watakukanyaga tuu!
Naona security ilikuwa enzi za mwalimu bwana nowdays ni scurity ya matumbo kwanza
Si waarabu juzi tu wameingia na madege yao kujizolea cha kwetu na watu wapo tu kwenye ajira!
Hamna usalama popote.
Leo nchi ikivamiwa sijui tutafanya nini, tujitayarishe kwa rambi rambi tu!!!!
 
nchi hii ni kama imeuzwa kwa wajanja wachache, viongozi wetu wamepoteza kauli katika mambo mengi hayo majengo mengi yanayomushroom mjini dar hayako kwenye maeneo muafaka, yamejengwa hadi katikati ya barabara, hayana hata maeneo ya kuegesha magari, hayazingatii masharti wala kanuni za ujenzi hayajali social wala environmenta impact zinazoweza kuletwa na ujenzi huo kwa ufupi hayajafanyiwa EIA ni tatizo kubwa sana
 
Wakuu tuangalie na nje ya box. Ikulu za wakuu wa kaya wengi duniani zimezungukwa na magorofa marefu Yakiwamo ya watu binafsi:mfano white house ya marekani,makao Makuu ya umoja wa mataifa ambapo wakuu wa nchi zote 193 duniani hukutana Kila mwaka na bado sio tatizo kwani ikulu yetu iko Kama vile vyoo vyetu vya uswahilini kwamba mtu akiwa kwenye gorofa anapata kuona Live?kuna watu wanalipwa pesa nyingi sana na serikali yetu kwa kazi hizo za security threats and analysis.It's now time to come up with new ideas or improve their previous plans,hiyo ni changamoto waifanyie kazi.Ikulu isiwe kikwazo cha kuendeleza mji na watu wa usalama waje na mipango mipya.Kama ujenzi umefuta taratibu zote sioni kwanini iwe issue.
 
Si mbali utasikia "Serekali kujenga Ikulu mpya nje ya jiji kupisha ujenzi wa hoteli ya kitalii".

Hili litakuwa ni wazo zuri pakajengwa hoteli ya kitalii pale ikulu ambayo itajumuisha majengo yaliyoko sasa na yatakayo ongezewa, beach ipo karibu taifa litaingiza fedha za kigeni nyingi sana. Safi sana tunahitaji ubunifu kama huu.
 
Hiyo kampuni PALM RESIDENCE LTD ikichunguzwa kwa undani zaidi kuhusu owners wake ukweli wote utajulikana.hiyo ngoma mkuu wa kaya mwenyewe unaweza kuta ana mkono wake humo ndo utashangaa!
 
Kuna Ujenzi wa gorofa kubwa sana na ndefu imekamilika pale maeneo ya karibu na Ikulu ya Taifa letu. Nakumbuka zamani nilisikia Ujenzi wa magorofa makubwa na marefu na ya makazi binafsi ya watu hawaruhusiwi kujengwa karibu na Ikulu kwa sababu ya Usalama wa Ikulu na kiongozi wetu na Nchi yetu.

Lakini nimeshangaa kuona gorofa moja kubwa sana mita chache kutoka Ikulu pembezoni mwa Ocean Road Hospital,... mwanzoni nilisikia ni jengo la Uhamiaji,... nikajipa moyo kuwa ni la Serikali yenyewe ingawa kiusalama nazani si vema.

Lakini sasa kumbe Ni Apartments, na muelekeo (nyumba na madirisha) yatazama kule kule?, Je kiusalama si Hatari? au Ndio jengo lina mkono wa wakubwa fulani?, au Ndio Utandawazi?
 
si halali kiusalama na niliposhangaa ni serikali ilipoanza kulifwatilia januari mwaka huu jumba likiwa karibu kukamilika

1.siku zote serikali ilikuwa wapi???
2.nani aliyetia kibali

3.SERIKALI IMETAKA KUANZIA FLOOR YA SITA ITUMIKE NA IDARA ZA SERIKALI NA MWENYE JENGO KADAI KAMA SERIKALI ITAWEZA KULIPA KODI ANAYOITAKA SAWA NA SII VIKODI VYA AJABU AJABU

by laws zimekataza ujenzi wa magorofa ya zaidi ya floor tano kuizunguka ikulu na
 
Kila kitu kinawezekana Tanzania.Mfano kuna mtu aliingia ikulu kuchuma maua bila walinzi kutambua,Ili kuendeleza uwekezaji wikileak walidai mkuu alipewa suti tano ili mahakama ivunjwe ili kupisha upanuzi wa Kilimanjaro Hotel.So hakuna kinachoshindika hapa hasa kama Mtu anapesa.
 
Zamani ndio ilikuwa si nzuri kiusalama, lakini hivi sasa ambao kutokana na kukua kwa teknolojia mtu aliwa Marekani anaweza kumtazama Jk akiwa chumbani kwake, aidha kombora linaweza kutupwa maelfu ya kilomita kutoka target yake ilipo na kuongozwa kupanda vilima na kushuka mabonde hadi kwenye target husika haoja hiyo inakuwa haina mashiko sana
 
Zamani ndio ilikuwa si nzuri kiusalama, lakini hivi sasa ambao kutokana na kukua kwa teknolojia mtu aliwa Marekani anaweza kumtazama Jk akiwa chumbani kwake, aidha kombora linaweza kutupwa maelfu ya kilomita kutoka target yake ilipo na kuongozwa kupanda vilima na kushuka mabonde hadi kwenye target husika haoja hiyo inakuwa haina mashiko sana

Basi kama ni hivyo hakuna haja ya kuwa na escort ya rais maana kwa mjibu wa technolojia anaweza kudhuliwa na mtu aliyeko marekani wakati rais yuko ikulu ya magogoni. Sidhan kama Marekani wenye technolojia kali kuliko sisi wanaweza kukubali jengo kama hili lijengwe karibu na ikulu yako.
 
Ikulu imepoteza mwelekeo,jk anaharibu nchi bora ajihudhuru.
 
Usalama gani? nyie bado mko enzi za Nyerere. Leo uki google unaipata Ikulu yote na wewe uko nyumbani kwako, wacha kuwa kwenye ghorofa la karibu. Na wale wenye access ya spy satellites wanaweza kuona mpaka bafu, kuna usalama hapo?

Wacheni kuwa bado karne za mawe (stone age). Tupo karne ya dot com, twende na wakati. Wacha watu wajenge, ni vitu vya mpito tu, walijenga kina firauni ma "pyramids" leo wako wapi? itakuwa hivi vijumba vya ghorofa karibu ya Ikulu?
 
Hii ndio Tanzania. Hata kama kitu kipo "very ovious" hakifai lakini tutashuhudia kikifanyika. "We simply we dont care". La si lile jengo lisingekua pale?

Osama aliishi umbali mdogo na kambi ya kiusalama ya Pakistan, watu wengi waliishangaa Pakistan kutojua uwepo wake, sasa zile ghorofa zitahifadhi akina nani watakaopata "birds view" ya Ikulu?
 
situnahamia huko dodoma////kwani hakuna alternative ikulu///////je dodoma jmefutwa dar si biashara city,,,,,vita vya siku hizi havina front,,,mambo na fikira za kale mgando hizo......
 
Back
Top Bottom